Upendo

Upendo ni jina na imani wangu
Wafuasi
 1. Upendo Upendo ni jina na imani wangu

  Heri ni kupeana chakula.  Mtu hawezi kudanganya sana ikiwa iwe chakula.  Sisemi haiwezekani (bila shaka inawezekana kabisa) lakini ni ngumu zaidi.  Mtu anaweza kutoa pesa popote na pia hata watajiri wanaweza kufaidi nafasi hii - huduma za serikali ziangazie walio hoi tu.

  • 0
 2. Jibu Bora
  Upendo Upendo ni jina na imani wangu

  Bila shaka ni vyema katika hali ya kawaida lakini ktk huu muda wa kutengamana naona inabidi kuchungu vizuri. Kama wazazi wanategemea usaidizi wako basi pata namna ya kuendeleza sapoti lakini kama wako wazee sana labda usiende kutokana na hatari utakayo waletea. Haya yatakuwa ngumu sana kwa maisha yaSoma zaidi

  • 1
 3. Upendo Upendo ni jina na imani wangu

  Pemba - kisiwa kilicho tengwa wakati huo watu wanahofia Korona. Pengine visiwa viko hatarini zaidi. Haya wacha nisiende popote 😅

  • 0
 4. Upendo Upendo ni jina na imani wangu

  Hakuna ukubali kabisa juu ya mask sana. Watu wa Asia huwa wanavaa. Watu wa Ulaya hawavai. Sababu ya mask ni ya kukinga jirani sio wewe.

  • 0
 5. Upendo Upendo ni jina na imani wangu

  Dunia yote imeshindwa kwa kiasi. Niambie nchi ambayo uenezi wa corona haupo? Hamna.

  • -1
 6. Upendo Upendo ni jina na imani wangu

  Kila kitu kinapatikana ngono - STD, virusi, upotevu kwa hivyo si corona pia? Chungu vizuri 👀

  • -1