Oracle

Mwanajamii
Mfuasi
 1. Mimi hupenda muziki wa aina nyingi kutegemea na hali iliyopo kwa wakati huo. Pia ni mpenzi wa vionjo na tamaduni tofauti katika muziki na maisha kwa ujumla.

  • 0
 2. Ninadhani kwamba mbogamboga na matunda huongeza kinga mwilini. Virutubisho vingine pia huchangia kwa kiwango fulani katika kuongeza kinga ya mwili.

  • 0
 3. Funzo kubwa ninalolipata kutokana na kifo cha George Floyd ni mamlaka kuheshimu haki za raia na raia kudai na kupigania haki zao. Ni majukumu kwa pande zote mbili.

  • 0
 4. Si kila mwanaume amelegea, ni baadhi tu. Na kwa kadiri idadi ya watu inavyoongezeka uwiano wa wanaume wanaolegea pia huongezeka. Vile vile, jambo hili linaweza kuwa ni tatizo la muda mfupi kutokana na msongo wa mawazo au sababu nyingine zinazoweza kupatiwa matibabu hospitalini au tatizo kupotea lenySoma zaidi

  • 0
 5. Ni vigumu kusema, lakini mvutano mkubwa ni kati ya maamuzi ya aidha kuendelea na shughuli huku zikichukuliwa tahadhari ama kusimamisha shughuli zote. Yote mawili ni maamuzi yanayofaa kwa kutegemea hali ya nchi husika na wananchi wake, hasa kiuchumu. Wakati nchi nyingi duniani zikiwa na changamoto nySoma zaidi

  • 0
 6. Mimi ningependa kutembelea nchi za Guinea, DR Congo na Botswna ili kufanya utafiti wa kufahamu namna bora ya kutumia na kusimamia rasilimali kwa maendeleo ya wananchi na katika kuepuka/kutatua migogoro. Botswana ni mfano bora wa usimamizi bora wa rasilimali, lakini Dr Congo kuna shida kubwa katika uSoma zaidi

  • 0
 7. Kitu cha kwanza kabisa ni kutoa taarifa kwenye hospitali ama kituo cha huduma za afya, na pia kujitenga ili kutoambukiza wengine.

  • 0
 8. Kujenga mwamko kwa wananchi ili waelewe namna dhana ya maendeleo inavyofanya kazi. Pia ni muhimu wananchi kufahamu namna ya kuwawajibisha viongozi wao.

  • 0
 9. Kukosekana kwa takwimu na kuingizwa kwa siasa kwenye uchunguzi na matibabu ya COVID-19 kunafanya hali ya Tanzania kuwa mbaya zaidi.

  • 0