Nilote4life

Naamini kwa uwezo wa utu
Mfuasi
 1. Unachosema basi ni ya kwamba Tanzania inashinda Kenya katika mashindano ya SGR 🤣 hata Burundi congo na Rwanda zipo akina Magafuli.

  • 0
 2. Biashara inayofaa waafrika ni wa ufalme na utawala na umilki.  Siku waafrika wanajitawala vizuri ndio siku waafrika watafanya kazi yao inayopaswa kwa muda mrefu.

  • 0
 3. Jibu hili limefanywa uhariri

  Naona waafrika wengi wanajiuliza hivi ndio ni suala kubwa inayobaki akilini.  Kuna majibu mengi yakiwemo changamoto za ukoloni, ufisadi, historia, ama jiografia.  Labda ni hizi zote.  Shida enyewe ni kujua hatua gani zinafaa.  Lakini kwa maoni yangu vitu viwili viko wazi sana; Waafrika wako tajiri mSoma zaidi

  • 0
 4. Afadhali vyombo vya habari ama redio ama mitandao kuliko bila si ndio?  Naona kujifunza kwingi kinatokea kwa kutumia mbinu ulizotaja... Lakini kwa upande wa kijamii watoto wanazorota ubongo 😅

  • 0
 5. Music zote za kiafrika inawakilisha waafrika kwa roho, sauti, na ngoma zilizo bora duniani

  • 0
 6. Inabidi kutambua mila za kila mtu ndio tusiwe kama mwonezi.  Watu ambao walijulikana sana bara la Afrika.  Sina jibu kwa kisa kilichotokea Kenya ila kusema tu tujaribu daima kufuatilia angalau kitu kidogo cha utamaduni wetu.

  • 0
 7. Watu wajigundue dini katika moyo zao.  Dini za kuunganisha waafrika ndio uzoefu wao na ukarimu wao.  Haya kama waafrika hawawezi kufanya mikutano kanisa basi tutaendelea nyumbani, VOIP, ama simu za mikononi.

  • 0