Mkubwa

Dunia inaisha Mungu atabaki
Wafuasi

Discy Latest Maswali

Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ...Soma Zaidi

Angalia hii twitter ambayo inaonesha askari wa GSU wakitawanya watu na gesi ya machozi. Huenda hii ikawa kawaida ndani ya Afrika? Mungu atusaidie

Read less

Mimi naona watu wanasikia huruma kwa Diamond lakini mbona tumesahau jinsi Tanasha alikuwa mpole sio kama wengine katika maisha ya ...Soma Zaidi

Mimi naona watu wanasikia huruma kwa Diamond lakini mbona tumesahau jinsi Tanasha alikuwa mpole sio kama wengine katika maisha ya nyota. Yeye alimheshimu Diamond sana hata wakati yeye alikuwa mbaya akimdanganya. #TeamTanasha

Read less

Amini usiamini Rwanda imetangaza itapelekwa chakula kwa wanaohitaji. Nauliza kama ni ukweli na pia kama ni cha kiasi ya ...Soma Zaidi

Amini usiamini Rwanda imetangaza itapelekwa chakula kwa wanaohitaji. Nauliza kama ni ukweli na pia kama ni cha kiasi ya kutosha ama ni mambo ya kushikilia vichwa vya habari tu? Napongeza juhudi hiyo.

Read less

Leo tunakaribia mwezi wa aprili na mimi najiuliza nchi gani itafanikiwa zaidi kupambana na Corona? Leo nilisikia Rwanda chakula ...Soma Zaidi

Leo tunakaribia mwezi wa aprili na mimi najiuliza nchi gani itafanikiwa zaidi kupambana na Corona? Leo nilisikia Rwanda chakula kitapelekewa wananchi wao. Tanzania ilianza mapema kutoa marafuku. Nchi zingine ikoje?

Read less