Mkubwa

Dunia inaisha Mungu atabaki
Wafuasi
 1. Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  Ukweli ni kitu kigumu.  Tunayojua ni kwamba: virusi ipo tu.  Kuna porojo nyingi ya serikali mbalimbali duniani ambazo zinataka kushawishi watu.  Hiyo ndio sababu ni ngumu sana kujua ukweli juu haya yote.  Naona inawezekana lakini hakuna hakika.

  • 0
 2. Corona itaisha mwaka huu lakini mabaki yake hataendelea miaka ijayo maanake athari kubwa zake zitakwisha mwakani lakini viwimbi vidogo vya baadaye vitatokea siku za usoni.

  • 0
 3. Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  kosa - mungu alitaka tuwe na mtu moja ndio hatuwezi kupenda zaidi ya watu mmoja.  Lakini neema yake anafahamu haja ya kuoa zaidi ya mara moja.  Tukiwa na machaguo basi bora mtu moja.

  • 0
 4. Jibu Bora
  Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  Idadi wa vifo kutokana na malaria ni wengi inasemekana.  Maanake ni wengi zaidi ya mambo mengine nchini.  Shida enyewe ni ngumu kujua kamili maana vifo vyingi haviripotiwi kwa hivyo wanasayansi anafanya makadirio tu bila kujua sana.

  • 0
 5. Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  Kenya Tanzania Nishati petroli umeme Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda Gharama kwa mita nyingi sio nyingi Ufadhili China Uturuhuki, Ureno Mwaka ilioanzishwa 2017 2019 Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi   Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.

  • 1
 6. Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  Mbinu wa kuongoza kivita unabadilika sana siku hizi kutokana na utawala ya karne hii.  Siku hizi kila mtu anaweza kutazama runinga ndio wajue mambo ya vita ni mabaya sana kama kuua mtu ama kurushia makombora makwao. Haya hii ni endeleo mzuri sana kwa dunia.  Sasa mbinu ya kivita ni kupitia uchumi weSoma zaidi

  • 1
 7. Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  Ni china... Baada ya muda tutaona vile ushawishi wao unazidi kabisa.

  • 0
 8. Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki

  Angalau serikali la Kenya iwe na mchakato wa kutoa chakula kwa walio chini sana maishani.  hela ilizotumika Gari moja la mwanasiasa inaweza kulisha wengi.   Lakini nauliza ikiwa programu kama hii tayari ipo Kenya ama hakuna hata chochote?

  • 0
 9. Kweli ana ngoma poa hata anatumia luo kwa hivyo amemasta sauti ya kuchanganya lugha lakini ni kama hana dhamira ila tu akisikike vizuri haya wacha niseme anafanya vizuri lakini bado naona ana zaidi ya kusafiri mpaka awe kibao

  • 0