MamaYako

Sio mama mboga
Wafuasi

Discy Latest Maswali

Inaonekana watu wana mafeelings mbalimbali kwa kanisa siku hizi. Serikali inasema tusiwe na mikusanyiko ya watu ikiwemo kanisa. ...Soma Zaidi

Inaonekana watu wana mafeelings mbalimbali kwa kanisa siku hizi. Serikali inasema tusiwe na mikusanyiko ya watu ikiwemo kanisa. Lakini ni muhimu sana watu wawe pamoja na mungu wakati wa changamoto. Watu wanawezaje kuwa mja mungu wakiomba wakati huo? Viongozi wana jukumu gani? Mungu atusaidie!

Read less

Sasa inaonekana hata Burundi iko na visa vya maambukizi ya corona. Ndio walikuwa wanasema labda neema ya mungu ililinda ...Soma Zaidi

Sasa inaonekana hata Burundi iko na visa vya maambukizi ya corona. Ndio walikuwa wanasema labda neema ya mungu ililinda nchi yake. Hongera kwake kwa kuepusha corona mpaka sasa. Nchi ya burundi iko kwa hali maskini zaidi ya nchi zingine East Africa basi wako na siku zaidi ya kujitayarisha janga hili. Naomba neema zaidi mungu!

Linki hii ndio habari kutoka Burundi:

https://www.iwacu-burundi.org/englishnews/covid-19-government-calls-on-burundians-to-implore-god-to-bar-virus/

Read less