MamaYako

Sio mama mboga
Wafuasi
 1. Korona itaisha kwa kiasi kidogo kila siku sio eti kama itaisha ghafla bali kila siku hatari itapungua kidogo mpaka watu wanajisikia wapo salama wakitoka.  Hatua ya serikali yataisha baada ya miezi kadhaa kwa maoni yangu.

  • 0
 2. Una makala ya kusema hiyo?  Sijasikia yoyote kuhusu tiba ya Iran.  Lakini naona ni uwongo.  Hapo mambo mengi yanafichiwa macho ya kimataifa.

  • 0
 3. Ubaguzi tu kutoka majuu - kadiri ninavyomudu maishani kadiri ninavyoona ubaguzi haubadiliki.

  • 0
 4. Amekuwa bilionea hivi karibuni na anataka kila mtu ajue kwamba ana sifuri 9 kwa utajiri yake.  Nasema hongera kwake lakini bado ako nyuma sana Beyoncé, Rihanna ama Jay-z kwa maoni yangu hata ikiwa ana doo kuwaliko.  Naona yeye ama tamaa ya kujipandisha mpaka juu sana awe kama Jeff Bezos mmiliki wa ASoma zaidi

  • 0
 5. Ghana ilikuwa ya kwanza kwa upande wa GDP per capital mwaka moja kutokana na upataji wao wa oil 🇬🇭

  • 0
 6. Ni vyema ikiwa wanasema kwa wananchi maski ama barakoa ni nini hasa. Hakuna anayeweza kugharamia barakoa zilizo pendekezwa basi si tuvalie maski zilizotengenezwa kwa vitambaa tuliyo nazo tayari. Yaani naona watu wengi wana uwezo wa kupata scarf ama kitu kama hiki. Ama ni namna gani?

  • 0
 7. Demokrasia ndio namna bora lakini demokrasia aina ya kiafrika inabidi kuwa kivyake sio ya kuigaiga

  • 0