MamaYako

Sio mama mboga
Wafuasi
  1. Sababu ni rahisi mwanagu. Maoni ndio hayo kutokana na ukweli ya kwamba wazungu wengi karibu wote hawajui kiswahili isipokuwa wachache kama wewe ikiwa wewe ni mzungu kiukweli.

    • 2
  2. Kweli Tanasha anamtusi Diamond? Si ni yeye naye ameanza fujo hiyo? Yeye hawezi kukaa na dem moja. Basi ni sawa ndio tabia ya wanaume lakini angalau akiri hivyo wazi.

    • 0