Joylee

shupavu na mwenye bidii.
Mfuasi

Discy Latest Maswali

Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka ...Soma Zaidi

Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

Read less

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia ...Soma Zaidi

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

Read less

Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; ...Soma Zaidi

Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda ambalo inachangia katika kutokea kwa visa kama hivi?

Read less

Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha ...Soma Zaidi

Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?

Read less

Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye ...Soma Zaidi

Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?

Read less

Hivi majuzi Rais wa Tanzania Magufuli ameweza kupuuza virusi vya Korona na kusababisha idadi kubwa ya watanzania kuathirika. Je, kutakuwa ...Soma Zaidi

Hivi majuzi Rais wa Tanzania Magufuli ameweza kupuuza virusi vya Korona na kusababisha idadi kubwa ya watanzania kuathirika. Je, kutakuwa na maafa mengi kutokana na Korona nchini Tanzania? Toa maoni yako.

Read less

Je,unafikiri kwamba serikali imeweza kusaidia wananchi katika kuwa na maski kila wakati. Ni hatua ipi ambayo serikali inapaswa kuchukua ili ...Soma Zaidi

Je,unafikiri kwamba serikali imeweza kusaidia wananchi katika kuwa na maski kila wakati. Ni hatua ipi ambayo serikali inapaswa kuchukua ili kuhakikisha kwamba kila mkenya ana maski yake?

Read less

Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. ...Soma Zaidi

Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. Je, nini kinaweza kuwa chanzo na ongezeko ya idadi ya watu walio na Korona?

Read less

Kutoka na ongezeko ya idadi ya watu walio na virusi vya Korona. Nchi nyingi hasa Afrika Mashariki zimeathirika vilivyo. Je, ...Soma Zaidi

Kutoka na ongezeko ya idadi ya watu walio na virusi vya Korona. Nchi nyingi hasa Afrika Mashariki zimeathirika vilivyo. Je, kati ya Uganda, Kenya, na Tanzania, ni nchi gani iliyoathirika zaidi na virusi vya Korona?

Read less

Hivi majuzi kumekua na visa vingi vya wapenzi kuzozana na hata wengine kuuwa wenzao. Kumekuwa na visa kama tatu ambapo ...Soma Zaidi

Hivi majuzi kumekua na visa vingi vya wapenzi kuzozana na hata wengine kuuwa wenzao. Kumekuwa na visa kama tatu ambapo wanaume wameweza kudhulimiwa kinyama na wanawake wao. Je, unaonelea ni nini kinaweza kuwa chanzo cha ongezeko wa visa vya kusikitisha kama hivi?

Read less