Cloudy2

MchangaNamiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
Wafuasi

Discy Latest Maswali

Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi ...Soma Zaidi

Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi kwa watu.  Baki salama na chukueni hatua za kujilinda.

Read less

Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki. Tunategemea utalii na exports. Sekta gani zingine ...Soma Zaidi

Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki. Tunategemea utalii na exports. Sekta gani zingine zitaathirika?

Read less

Sasa watu wanajua Kenya iko mbele si ndio. Hata watanzania wanasema Nairobi ndio kama imeingia majuu. Lakini hali inaweza kubadilika. ...Soma Zaidi

Sasa watu wanajua Kenya iko mbele si ndio. Hata watanzania wanasema Nairobi ndio kama imeingia majuu.

Lakini hali inaweza kubadilika. Sanasana katika huu muda ambao Magafuli anashindana na wenzake vikali.

mfano ni ujanja wake wa kujipatia hiyo mkataba wa kuunganisha Rwanda SGR badala ya Kenya. Mambo kama haya, pamoja na vita yake dhidi ya ufisadi, yanaweza kubadilisha uhusiano kati Kenya na Tanzania. Maoni yako?

Read less

Nimefurahi kuona Rayvanny akitoa ngoma ya kuelimisha juu ya ugonjwa hasa kipande kile cha video kinachoonesha raisi wa Tanzania akieleza ...Soma Zaidi

Nimefurahi kuona Rayvanny akitoa ngoma ya kuelimisha juu ya ugonjwa hasa kipande kile cha video kinachoonesha raisi wa Tanzania akieleza uzito wa corona. Mimi nataka kujua kama hii ndio wazo lake ama alishirikiana na mamlaka ya nchi? Iwapo hivyo mbona msanii mwengine hakuchaguliwa kama Diamond?

Read less