Naona mjadala kati manufaa ya kuendelea kawaida ama kuendelea mhofu inafaa. Watu wengi wa Tanzania wanategemea kazi yao. Umaskini upo mengi kwa Tanzania, hata kuliko Kenya. Kwa hivyo si nchi hizo zisisahau changamoto zao zingine zilikuwepo kabla? Hakuna nchi inayoathirika sana katika Afrika ya SSoma zaidi
Naona mjadala kati manufaa ya kuendelea kawaida ama kuendelea mhofu inafaa. Watu wengi wa Tanzania wanategemea kazi yao. Umaskini upo mengi kwa Tanzania, hata kuliko Kenya. Kwa hivyo si nchi hizo zisisahau changamoto zao zingine zilikuwepo kabla? Hakuna nchi inayoathirika sana katika Afrika ya Sahara. Kama mambo inaendelea hivyohivyo nchi zifunguke polepole na kitaratibu. Inabaki kuwa mwangalifu sana hapo. Hata Ulaya wamegundua baada ya muda ya kwamba idadi wanaokufa sio wengi kabisa walivyofikiria mwanzoni. Pia hao wana watu wengi wazee.
Lakini wacha nimalize vizuri – ya msingi ni kuwa Korona ni mambo mazito na hatari. Inabidi tuungane mikono kuishinda. Inabidi hatua nyingi ya serikali ili kupunguza vifo.
nawa mikono mara nyingi pamoja na sabuni. Sabuni inasaidia kutoa virusi. Nawa kwa makini ya muda ifikapo dakika moja usiguse uso. Jizoesha tabia ya kutogusa uso. Hiyo ni ngumu lakini hatua muhimu. unavyoweza epusha kukaribia watu sana. Kama unaweza jaribu kukaa mita mbili mbali na wengine Vaa barakoSoma zaidi
nawa mikono mara nyingi pamoja na sabuni. Sabuni inasaidia kutoa virusi. Nawa kwa makini ya muda ifikapo dakika moja
usiguse uso. Jizoesha tabia ya kutogusa uso. Hiyo ni ngumu lakini hatua muhimu.
unavyoweza epusha kukaribia watu sana. Kama unaweza jaribu kukaa mita mbili mbali na wengine
Vaa barakoa ama kitu kinachoweza kufunika mdomo yako. Sasa migumu kupata barakoa duniani kwa hivyo tumia kitambaa ama kitu nyumbani. Hatua hii inapunguza uwezo wako wa kuambukiza wengine
kama unajisikia mgonjwa usiendee nje. Kaa nyumbani. Ukijisikia unaendelea na alama za corona, wasiliana na daktari ama mamlaka
Je, maneno ya Rais wa Tanzania John Paul Magufuli yafaa?
Cloudy2
Naona mjadala kati manufaa ya kuendelea kawaida ama kuendelea mhofu inafaa. Watu wengi wa Tanzania wanategemea kazi yao. Umaskini upo mengi kwa Tanzania, hata kuliko Kenya. Kwa hivyo si nchi hizo zisisahau changamoto zao zingine zilikuwepo kabla? Hakuna nchi inayoathirika sana katika Afrika ya SSoma zaidi
Naona mjadala kati manufaa ya kuendelea kawaida ama kuendelea mhofu inafaa. Watu wengi wa Tanzania wanategemea kazi yao. Umaskini upo mengi kwa Tanzania, hata kuliko Kenya. Kwa hivyo si nchi hizo zisisahau changamoto zao zingine zilikuwepo kabla? Hakuna nchi inayoathirika sana katika Afrika ya Sahara. Kama mambo inaendelea hivyohivyo nchi zifunguke polepole na kitaratibu. Inabaki kuwa mwangalifu sana hapo. Hata Ulaya wamegundua baada ya muda ya kwamba idadi wanaokufa sio wengi kabisa walivyofikiria mwanzoni. Pia hao wana watu wengi wazee.
Lakini wacha nimalize vizuri – ya msingi ni kuwa Korona ni mambo mazito na hatari. Inabidi tuungane mikono kuishinda. Inabidi hatua nyingi ya serikali ili kupunguza vifo.
Angalia kidogoUnawezaje kujikinga usiweze kuambukizwa Corona?
Cloudy2
nawa mikono mara nyingi pamoja na sabuni. Sabuni inasaidia kutoa virusi. Nawa kwa makini ya muda ifikapo dakika moja usiguse uso. Jizoesha tabia ya kutogusa uso. Hiyo ni ngumu lakini hatua muhimu. unavyoweza epusha kukaribia watu sana. Kama unaweza jaribu kukaa mita mbili mbali na wengine Vaa barakoSoma zaidi
Nilisahau kitu ama?
Angalia kidogo