CarolGK

MchangaNapenda lugha
Wafuasi
 1. BBC Swahili inasikika katika nchi nane. Hizi ni: Kenya, Tanzania, Congo, Burundi, Uganda kusini, Malawi, Zambia and Mozambique.

  • 0
 2. Chuo bora zaidi kwa mambo ya kompyuta Afrika mashariki ni Chuo cha Strathmore. Wana vifaa vyote vinavyohitajika kwa ufundi wa kisayansi ya kikompyuta na pia walimu wenye tajiriba ya juu zaidi.

  • 0
 3. Ndio. Wanaume wa kisasa wamelegea kwa majukumu. Wengi wao wanataka wasaidiwe na wanawake wao ama ata walishwe na hao hao wanawake wao. Na ilihali wanajidai eti wao ndio kichwa cha familia. Nini itadhihirisha kuwa wao ni vichwa ilihali ni wanaume kama mabinti?

  • 0
 4. Jibu hili limefanywa uhariri

  Jinsi anavyohusiana na simu yake. Kama anaitumia kwa kuficha kuficha au kwa njia isiyoeleweka basi jua hapo kuna jambo na huyo hawezi kuwa mkweli

  • 0
 5. Waendelee kuandamana kabisa hadi waafrika wapate haki zao uzunguni. Kwani hata hao wazungu wanapokuja Afrika hatuwabagui. Mbona nasi watubague makwao?

  • 0
 6. Jibu hili limefanywa uhariri

  Bado sijatimiza maana hamna opportunity. Maskini hana lake.

  • 0