Mfuasi
  1. Jibu hili limefanywa uhariri

    Natamani kutembelea Iceland. Kutokana na taarifa nilizosikia, nimependezwa na haya kutoka Iceland Inasemekana kuwa ni salama sana na hakuna migogoro ya kivita, na takwimu za mauaji ni ndogo Natamani kutembelea sehemu yenye barafu Picha zake zinaonesha uzuri wake kama sehemu nzuri kwa ajili ya utaliiSoma zaidi

    • 0