Mfumo wa Pointi

Utapewa pointi kutokana na harakati zako kwenye tobuti yetu. Ukipendeka (kwa upande wa kura, wafausi, ama majibu bora) utapewa pointi kwa kazi nzuri unazofanya.

 • 20Pointi

  Ukialika mtu ajiunge nasi

 • 20Pointi

  Ukijisajili tovutini

 • 20Pointi

  For referring a new user for paid membership.

 • 5Pointi

  When your answer has been chosen as the best answer.

 • 5Pointi

  Ukifuatiliwa na mtu

 • 2Pointi

  Jibu lako likipata kura.

 • 1Pointi

  Swali lako likipata kura

Mfumo wa Vyeo

Kutokana na pointi zako, utashinda vyeo mbalimbali. Vyeo vitaonesha kwa wasifa yako na pia kutakuwa mafaida mbalimbali pamoja na vyeo.

 • Mchanga
  20Pointi

  Mchanga ni mtu ambaye hana uzoefu wa kuuliza ama kujibu.

 • Mzoea
  200Pointi

  Mzoea ni mtu ambaye amezoea kuuliza maswali juu ya maisha.

 • Mjuzi
  1,000Pointi

  Mjuzi ni mtu ambaye ana ujuzi nyingi juu maisha.

 • Mtaalam
  5,000Pointi

  Mtaalamu ni mtu ambaye ni mstadi kutokana na bidii aliyetia.

 • Mhanga
  20,000Pointi

  Mhanga ni mtu ambaye anaheshimiwa sana barani mwa Afrika.

 • Shujaa
  100,000Pointi

  Shujaa ni mtu wa mitholojia. Hata hatujui kama kufikia hapo inawezekana.

 • Mmilionea
  1,000,000Pointi

  Siku moja mtu atafikia mungu akipenda