Nilote4life aliuliza 02/04/2020kwa Lugha Hongera kwa tovuti. Mimi nauliza – Kiswahili ni lugha rasmi katika nchi ngapi?
Kura Cloudy2 aliuliza 31/03/2020kwa Kenya Nchi gani kati ya Kenya na Tanzania itaibuka mshindi kwa upande wa uchumi kwenye miaka ya mbele?
Cloudy2 aliuliza 29/03/2020kwa Muziki Rayvanny anaunga mkono na serikali ya Tanzania katika ngoma yake mpya ya Corona?