Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki. Tunategemea utalii na exports. Sekta gani zingine zitaathirika?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Sekta ya mikutano na mikusanyiko na mahoteli yatakuwa matatani mwisho wa mwaka. Hiyo ndio prediction yangu. Lakini naona Afrika itarudi haraka zaidi baada ya athari zimekwisha duniani.
Sekta ya mikutano na mikusanyiko na mahoteli yatakuwa matatani mwisho wa mwaka. Hiyo ndio prediction yangu. Lakini naona Afrika itarudi haraka zaidi baada ya athari zimekwisha duniani.
Angalia kidogoWaafrika wana baraka ya Mungu. Tuombe tupitishe janga hili
Waafrika wana baraka ya Mungu. Tuombe tupitishe janga hili
Angalia kidogoUchumi wa Afrika mashariki kwa jumla utadhoofika kufuatia hatua hii. Ni vyema wananchi pamoja na serikali kushirikiana katika kuijenga uchumi wetu hasa wakati huu wa virusi vya Corona.
Uchumi wa Afrika mashariki kwa jumla utadhoofika kufuatia hatua hii. Ni vyema wananchi pamoja na serikali kushirikiana katika kuijenga uchumi wetu hasa wakati huu wa virusi vya Corona.
Angalia kidogoSi tunaangazia athari za kiuchumi mno? Maisha ni ya muhimu
Si tunaangazia athari za kiuchumi mno? Maisha ni ya muhimu
Angalia kidogoUtalii ndo utakao hadhirika mno lakini hili ni swala la Afrika mzima na wala si la Afrika mashariki pekee kwani hili janga limehadhiri dunia mzima. Cha muhimu lakini ni uhai na uzima.
Utalii ndo utakao hadhirika mno lakini hili ni swala la Afrika mzima na wala si la Afrika mashariki pekee kwani hili janga limehadhiri dunia mzima. Cha muhimu lakini ni uhai na uzima.
Angalia kidogo