• Kuna Mshindi!

Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo cha George Floyd?

Athari ya maandamano Marekani ni kubwa duniani. Naona watu wa Afrika Mashariki wana shauri za kivyake. Ni vipi?

Shea
  1. Funzo kubwa ninalolipata kutokana na kifo cha George Floyd ni mamlaka kuheshimu haki za raia na raia kudai na kupigania haki zao. Ni majukumu kwa pande zote mbili.

    • 0
  2. Waendelee kuandamana kabisa hadi waafrika wapate haki zao uzunguni. Kwani hata hao wazungu wanapokuja Afrika hatuwabagui. Mbona nasi watubague makwao?

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali