Wanamuziki hasa wakati huu wametia bidii kutoa nyimbo mpya kwa jamii. Ilhali kuna wasanii ambao wamechukua fursa hii kuchapisha nyimbo zinazochangia ongezeko la uozo wa jamii. Nyimbo zinazohusu mambo mbaya au habari isiyokua na manufaa kwa jamii, hasa watoto waliochini wa umri wa miaka kumi na nane. Hivi basi, msimamizi na sekta ya maigizo nchini Kenya ameweza kutoa onyo kwa wanamuziki kwa jina Mejja na Femi One baada ya kutoa wimbo wao mpya wa Utawezana. Wimbo huu unaleta habari potovu kwa jamii. Je, unaonelea hatua hii ni sawa au la?
Shea
Nyimbo zina manufaa mingi sana kwa jamii, ikiwemo kufurahisha, kuelimisha, kuburudisha, kumbukumbu na pia ni kiyoo cha jamii. Wimbo mmoja unaweza kitialia maanani manufaa yote au angalau maana moja. Ni Kweli wimbo unaeza kuwa unapotosha jamii hasa watoto, lakini tangu mwanzo nyimbo kama hizo zimeishSoma zaidi
Nyimbo zina manufaa mingi sana kwa jamii, ikiwemo kufurahisha, kuelimisha, kuburudisha, kumbukumbu na pia ni kiyoo cha jamii.
Wimbo mmoja unaweza kitialia maanani manufaa yote au angalau maana moja.
Ni Kweli wimbo unaeza kuwa unapotosha jamii hasa watoto, lakini tangu mwanzo nyimbo kama hizo zimeishi kuwa.
Tofauti ya nyimbo za kisasa na za kitambo ni kuwa wakati unabadilika na hakuna anayeweza zuia manadiliko.
Wimbo wa Meja na Femi unaonyesha bayana sayana kuwa vitendo za ngono zimeongezeka kwa kiwango cha juu Sana.
Itatengemea na unachozigatia ukisikiza au kutazama wimbo huu. Kwa maoni yangu wimbo huu una manufaa na bado ukona hitilafu.
Angalia kidogoNadhani toni ya genge imekuwa ndio mtindo wa kawaida leo nchini Kenya. Mejja na Femi One walifanya tu wimbo huo ili kutoshea katika kizazi kipya na kujaribu kubaki sahihi katika sekta hii inayokuwa kwa haraka katika ushindani. Kinachopaswa kupigwa marufuku ni aina yote ya toni ya genge. Beats ni nzuSoma zaidi
Nadhani toni ya genge imekuwa ndio mtindo wa kawaida leo nchini Kenya. Mejja na Femi One walifanya tu wimbo huo ili kutoshea katika kizazi kipya na kujaribu kubaki sahihi katika sekta hii inayokuwa kwa haraka katika ushindani.
Kinachopaswa kupigwa marufuku ni aina yote ya toni ya genge. Beats ni nzuri lakini muziki huu hauna yaliyomo. Ikiwa utaangalia au kusikiliza muziki huu ni ponografia safi.
Angalia kidogoWaimbaji wana haja ya kuzidi kila mara ndio wawe na mafans zaidi mapaka wakasema mambo maajabu. Lakini mara kwa mara maajabu inabidi kwa jamii kwa mfano muziki za kupinga udhuluma kama zile za kiafrika Marekani ama reggae huko Jamaica. Kwa hivyo naona ni ngumu sana kuamua music gani inasaidia amaSoma zaidi
Waimbaji wana haja ya kuzidi kila mara ndio wawe na mafans zaidi mapaka wakasema mambo maajabu. Lakini mara kwa mara maajabu inabidi kwa jamii kwa mfano muziki za kupinga udhuluma kama zile za kiafrika Marekani ama reggae huko Jamaica. Kwa hivyo naona ni ngumu sana kuamua music gani inasaidia ama la.
Angalia kidogo