Wakenya ambao walifika hapa nchini kutoka nchi za nje, walipaswa kupitia kuarantini ya siku kumi na nne kabla ya kuelekea maskini yao. Kwa sasa muda huu wa siku kumi na nne umekwisha na serikali imekataa kuwaachilia watu hawa kurejea makwao. Je, kulingana na maoni yako, ni vyema watu hawa wawachiliwe ama waendelee kukaa kuarantini?
Shea
CarolGK
Ndio, inafaa wasafiri wote wawekwe karantini siku kumi na nne kabla ya kuelekea makwao. Hasa sasa hivi safari za ndege za kimataifa zimerejelewa, ni bora zaidi kuwa makini. Nadhani kuzidishwa siku za karantini inatokana na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya kupimia virusi ikilinganishwa na idadi kubwaSoma zaidi
Ndio, inafaa wasafiri wote wawekwe karantini siku kumi na nne kabla ya kuelekea makwao. Hasa sasa hivi safari za ndege za kimataifa zimerejelewa, ni bora zaidi kuwa makini.
Nadhani kuzidishwa siku za karantini inatokana na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya kupimia virusi ikilinganishwa na idadi kubwa ya watu. Pia wasafiri kutangamana wao kwa wao wakiwa huko huko karantini inachangia maambukizi zaidi kwa hivyo inabidi kuongezewa siku zaidi za kuchunguzwa.
Naonelea watu tu wawe na subira.
ERIC
Wizara ya afya inasema kuwa virusi vya Korona zinapoingia kwenye mwili wa binadamu zinaweza kuonekana Baada ya siku kumi na nne. Iwapo raia hawa wamekaa kwenye quarantini kwa siku kumi na nne na wakapimwa na kuonekana wenye afya wanafaa kuruhusiwa kwenda makwao. Daktari walipowapiwa Baada ya siku kuSoma zaidi
Wizara ya afya inasema kuwa virusi vya Korona zinapoingia kwenye mwili wa binadamu zinaweza kuonekana Baada ya siku kumi na nne.
Iwapo raia hawa wamekaa kwenye quarantini kwa siku kumi na nne na wakapimwa na kuonekana wenye afya wanafaa kuruhusiwa kwenda makwao.
Daktari walipowapiwa Baada ya siku kumi na nne walipata kunao wenye ugogwa wa Korona.
Walipokuwa kwenye quarantini wagonjwa hawa hawakuzigatia kanuni za wizara ya afya za kutokaribiana.
Walio na afya wanashukiwa kuwa wiambukizwa na waliopatikana na virusi hivi kwasababu waliweza kukaribiana.
Kwa hili wanafaa kuongezewa siku zingine kumi na nne ili walioambukizwa kupatikana.
Maoni ya ni walio kwenye kuarantine wazidi kukaa huko.