Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Jitambulisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JitambulishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 07/11/2022 saa 11:39 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 06/11/2022 saa 12:38 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 02/08/2022 saa 3:01 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 03/07/2022 saa 3:35 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 01/04/2022 saa 6:17 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7553
Inashughulikiwa
Mkubwa
Mkubwa
aliuliza 20/04/20202020-04-20T06:49:44-03:00 2020-04-20T06:49:44-03:00kwa Lugha

Walibora, shujaa wa Kiswahili, aliuawa Kenya?

Inaonekana Walibora aliuawa? Nini ilitokea? Mbona mtu angalitaka kumuua mtaalam kama huyo? Mbona yeye hakuokolewa?

  • 1
  • 3
  • 0
Jibu
Shea
  • Facebook

    3 Majibu

    • Kura
    • Mapya
    • Zamani
    1. Joylee shupavu na mwenye bidii.
      2020-04-20T13:32:00-03:00Alijibu tarehe 20/04/2020 saa 1:32 um

      Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo chSoma zaidi

      Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo cha kawaida pasipo wati kuleta maoni mengi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. ERIC Naweza
      2020-04-20T14:12:31-03:00Alijibu tarehe 20/04/2020 saa 2:12 um

      Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma. Juma iliyopita Marehemu  Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisemSoma zaidi

      Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma.

      Juma iliyopita Marehemu  Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisema Kuwa Marehemu Ken Walibora alipata ajali kwa kugogwa na gari na kuikata roho.

      Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa Marehemu Ken Walibora uliacha wengi na maswali si haba. Kwani ilionyesha dalili za kuwa na maumivu ya kupigwa mwilini wake.

      Mungu ailaze roho ya Marehemu Ken Walibora mahali pema peponi.😭😭

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp
    3. CarolGK Napenda lugha
      2020-07-20T12:19:10-03:00Alijibu tarehe 20/07/2020 saa 12:19 um

      Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. MolaSoma zaidi

      Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. Mola alilaze roho yake pema peponi.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 30/12/2020
      • Jibu: 1

      Taja inchi tatu zinazo ongea Kiswahili viruzi zaidi barani Africa.

      • Tarehe: 10/06/2020
      • Majibu: 0

      Je, wazijua lugha ngapi?

      • Tarehe: 03/06/2020
      • Jibu: 1

      Je, swali kuhusu dira.

      • Tarehe: 12/05/2020
      • Majibu: 3

      Maana ya "hudhurio"

      • Tarehe: 30/04/2020
      • Majibu: 3

      Unasemaje "habari yako" kwa kifaransa?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

    • Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo cha George Floyd?
      • Tarehe: 06/06/2020
      • Majibu: 3

      Watu wa Kiswahili wana shauri gani kwa wamarekani wanaoandamana kifo ...

    • Umewahi kubaguliwa na mzungu?
      • Tarehe: 02/06/2020
      • Jibu: 1

      Umewahi kubaguliwa na mzungu?

      • Tarehe: 28/04/2020
      • Majibu: 2

      Hawa wa GSU walitumia nguvu vibaya Likoni Mombasa wakitekeleza sheria ...

    • Eti sasa wengine wanalaumu mkuu wa shirika la afya duniani?
      • Tarehe: 09/04/2020
      • Jibu: 1

      Eti sasa wengine wanalaumu mkuu wa shirika la afya duniani?

    • Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha alikuwa mtu wa dhati kwa uhusiano wao.
      • Tarehe: 03/04/2020
      • Majibu: 5

      Tukiangalia nyuma baada ya kuachana Diamond na Tanasha, mnaona Tanasha ...

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Vyeo
      • Vyeo
      • Matuzo
      • Watumiaji Wengine
    • Kutuhusu
      • Kutuhusu
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais