Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. MolaSoma zaidi
Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. Mola alilaze roho yake pema peponi.
Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma. Juma iliyopita Marehemu Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisemSoma zaidi
Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma.
Juma iliyopita Marehemu Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisema Kuwa Marehemu Ken Walibora alipata ajali kwa kugogwa na gari na kuikata roho.
Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa Marehemu Ken Walibora uliacha wengi na maswali si haba. Kwani ilionyesha dalili za kuwa na maumivu ya kupigwa mwilini wake.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Ken Walibora mahali pema peponi.😭😭
Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo chSoma zaidi
Swali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo cha kawaida pasipo wati kuleta maoni mengi. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. MolaSoma zaidi
Ndio, Walibora shujaa wa Kiswahili aliuliwa. Baada ya uchunguzi ilidhihirika kuwa Walibora alidungwa na kisu mara kadhaa kabla ya ajali hiyo. Ambacho hakijulikani kwa kweli ni nani alimuua na kwa nini. Cha kushangaza ni kuwa kuna ambulensi iliyopita hapo lakini haikumuokoa kwani hakuwa na pesa. Mola alilaze roho yake pema peponi.
Angalia kidogoMarehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma. Juma iliyopita Marehemu Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisemSoma zaidi
Marehemu Ken Walibora alikuwa mwandishi shujaa na alionyesha ushujaa wake kupitia uandishi wake. Aliweza kuandika vitabu mingi ambazo bila Shaka zilikuwa kioo cha jamii na ziliweza kuwaelimisha waliozisoma.
Juma iliyopita Marehemu Waliboraaliweza kutangazwa kuwa alikuwa amekata roho. Habari zilisema Kuwa Marehemu Ken Walibora alipata ajali kwa kugogwa na gari na kuikata roho.
Uchunguzi uliofanyiwa mwili wa Marehemu Ken Walibora uliacha wengi na maswali si haba. Kwani ilionyesha dalili za kuwa na maumivu ya kupigwa mwilini wake.
Mungu ailaze roho ya Marehemu Ken Walibora mahali pema peponi.😭😭
Angalia kidogoSwali ilo limebakia kukosa suluhu akilini, si tu hapa nchini Kenya lakini duniani Kote. Marehemu Ken Walibora alikua mwandishi na mtaalam wa lugha shupavu. Iwapo umepata nafasi ya kusoma vitabu vyake, bila shaka utaelewa mbona mwandishi huyu ni mtaalamu wa lugha. Naonelea kifo chake kilikuwa kifo chSoma zaidi

Angalia kidogo