Tayari nimeanza kuwa na shida ya kubaki nyumbani. Nina faida ya kufanya kazi nyumbani lakini tayari magambano yanazidi na mke. Pia sijui muda gani kazi itabaki katika mazingira haya ya kutojua chochote. Naogopa kuwa uchumi utazorota muda si muda. Tuombe Mungu apitishe janga la Corona.

CarolGK
Kabla huu mwaka huu kuisha Corona itakuwa imeisha. Kuna fununu China washavumbua chanjo. Na ukifuatilia mataifa mengi maambukizi yameenda chini sana. Pia hakuna mlipuko wa pili wa virusi vya corona kwa hivyo ni dalili nzuri kuwa itaisha upesi

See lessJoylee
Kwa maoni yangu naona kwamba mambo yataweza kurudi sawa baada ya mwaka moja. Virusi vya Corona vimesambaa katika maeneo mingi sana duniani na hata apa nchini Kenya.
Kwa maoni yangu naona kwamba mambo yataweza kurudi sawa baada ya mwaka moja. Virusi vya Corona vimesambaa katika maeneo mingi sana duniani na hata apa nchini Kenya.
See lessMzungu
Naona watalaam wengi wanasema miezi lakini hakuna mtu ambaye anajua kabisa. Pia inabidi kuzingatia nchi zingine ziko zote kwa njia mbalimbali yaani Marekani iko mbele na Kenya. Mstadi kwetu mmarekani, Tony Fauci, anaona tutafikia vifo laki moja ama mbili. Mwisho utategemea masuluhisho tutakayo gunduSoma Zaidi
Naona watalaam wengi wanasema miezi lakini hakuna mtu ambaye anajua kabisa. Pia inabidi kuzingatia nchi zingine ziko zote kwa njia mbalimbali yaani Marekani iko mbele na Kenya. Mstadi kwetu mmarekani, Tony Fauci, anaona tutafikia vifo laki moja ama mbili.
See lessMwisho utategemea masuluhisho tutakayo gundua yakiwemo tiba, dawa, na chanjo. Tuombe Mungu atuwezeshe.