Wagonjwa wa Korona nchini Tanzania ni wagapi kijumla?

Serikali ya Tanzania ilitangaza kwa haitahesabu idadi ya wagonjwa wa Korona pindi tu walifikisha idadi ya watu 509 na vifo 21. Je wagonjwa wa Korona nchini Tanzania wamefika wagapi Hadi leo?

  1. Haiwezi julikana kwa kweli idadi ya wahadhiriwa wa Corona nchini Tanzania kwani wameamua kulipuuza gonjwa hili na pia hawatangazi idadi tena. Lakini kwa mawazo yangu wanaweza kuwa ni wengi zaidi ya Kenya.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali