Wafrika ni watu wachangamfu – tutaendelea hivyo kabisa baada ya muda huu mrefu wa kutengana?
Matokeo ya Kura
Tafadhali ingia kupiga kura na uone matokeo.
Shiriki kwenye kura ya maoni, Chagua Jibu lako.
Inasemekana watu wa Afrika wako watu wema na wachangamfu sana. Ukienda ugenini utaona wengine wa dunia hana hii moyo ya kupendana. Najiuliza kama hii virusi kutoka nje itabadilisha tabia yetu baada ya vurugu iinayotokea duniani kote. Labda tutakuwa ndani kwa miezi!
Naamini waafrika wataendelea na uchangamfu huo huo ata baada ya janga la corona litakapoisha. Lakini wanasiasa wanafaa wayaangalie sana matamshi yao yanayotokana na misimamo yao tofauti kuhusu ugonjwa wa corona, yasilete vurugu baina ya mataifa baada ya janga la corona. Kwa mfano, tumeona majibizanoSoma zaidi
Naamini waafrika wataendelea na uchangamfu huo huo ata baada ya janga la corona litakapoisha. Lakini wanasiasa wanafaa wayaangalie sana matamshi yao yanayotokana na misimamo yao tofauti kuhusu ugonjwa wa corona, yasilete vurugu baina ya mataifa baada ya janga la corona. Kwa mfano, tumeona majibizano kati ya viongozi wa Tanzania na wale wa Kenya kutokana na misimamo yao tofauti kuhusu virusi vya corona.

Angalia kidogo