Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
Weka sahihiJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

Joylee
Joylee
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.23/01/2021 saa 7:20 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.22/01/2021 saa 5:46 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura kwa swali lako.21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako19/01/2021 saa 12:13 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 6889
alijibu
Joylee
Joylee

Joylee

  • shupavu na mwenye bidii.
  • 41 Maswali
  • 43 Majibu
  • 1 Jibu Bora
  • 70 Pointi
Ona Wasifu
Joylee
Uliulizwa: 04/04/20202020-04-04T13:51:37-03:00 2020-04-04T13:51:37-03:00Katika: Afya

Unawezaje kujikinga usiweze kuambukizwa Corona?

Unawezaje kujikinga usiweze kuambukizwa Corona?

kingatahatharividhibiti vya corona
  • 3
  • 3
  • 375
  • 0
Jibu
Shea
  • Picha za

    3 Majibu

    • yenye Kura
    • Mapya
    • ya Zamani
    1. Cloudy2

      Cloudy2

      • Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      • 8 Maswali
      • 30 Majibu
      • 2 Majibu Bora
      • 92 Pointi
      Ona Wasifu
      Bora
      Cloudy2 Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      2020-04-04T14:51:41-03:00Alijibu 2:51 um
      Jibu hili lilibadilishwa.

      nawa mikono mara nyingi pamoja na sabuni. Sabuni inasaidia kutoa virusi. Nawa kwa makini ya muda ifikapo dakika moja usiguse uso. Jizoesha tabia ya kutogusa uso. Hiyo ni ngumu lakini hatua muhimu. unavyoweza epusha kukaribia watu sana. Kama unaweza jaribu kukaa mita mbili mbali na wengine Vaa barakoSoma zaidi

      1. nawa mikono mara nyingi pamoja na sabuni. Sabuni inasaidia kutoa virusi. Nawa kwa makini ya muda ifikapo dakika moja
      2. usiguse uso. Jizoesha tabia ya kutogusa uso. Hiyo ni ngumu lakini hatua muhimu.
      3. unavyoweza epusha kukaribia watu sana. Kama unaweza jaribu kukaa mita mbili mbali na wengine
      4. Vaa barakoa ama kitu kinachoweza kufunika mdomo yako. Sasa migumu kupata barakoa duniani kwa hivyo tumia kitambaa ama kitu nyumbani. Hatua hii inapunguza uwezo wako wa kuambukiza wengine
      5. kama unajisikia mgonjwa usiendee nje. Kaa nyumbani. Ukijisikia unaendelea na alama za corona, wasiliana na daktari ama mamlaka

      Nilisahau kitu ama?

      Angalia kidogo
      • 2
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. CarolGK

      CarolGK

      • Napenda lugha
      • 13 Maswali
      • 100 Majibu
      • 8 Majibu Bora
      • 118 Pointi
      Ona Wasifu
      CarolGK Napenda lugha
      2020-06-14T04:16:47-03:00Alijibu 4:16 mu
      Jibu hili lilibadilishwa.

      1) Usisalimie watu kwa mkono wako 2) Nawa mikono kwa umakini kila baada ya dakika chache au tumia vitakaza mikono 3) Vaa barakoa kila unapokwenda nje 4) Zuia kuwa kwenye mikusanyiko 5) Kaa umbali wa mita mbili au zaidi unapotangamana na yeyote 6) Kama huna mahali pa lazima pa kwenda, kaa nyumbani 7)Soma zaidi

      1) Usisalimie watu kwa mkono wako 2) Nawa mikono kwa umakini kila baada ya dakika chache au tumia vitakaza mikono 3) Vaa barakoa kila unapokwenda nje 4) Zuia kuwa kwenye mikusanyiko 5) Kaa umbali wa mita mbili au zaidi unapotangamana na yeyote 6) Kama huna mahali pa lazima pa kwenda, kaa nyumbani 7) Usiguze uso wako 8) Funika chafya zako na vikohozi vyako kwa kutumia kitambaa au tisuu. Usipige chafya kwenye hewa 9) Takaza maeneo yote ya nyumba yako kwa kutumia sabuni na maji 10) Ukijisikia mgonjwa na mwenye dalili za homa kaa kwenye nyumba yako alafu wasiliana na wahudumu wa afya              

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    3. Joylee

      Joylee

      • shupavu na mwenye bidii.
      • 41 Maswali
      • 43 Majibu
      • 1 Jibu Bora
      • 70 Pointi
      Ona Wasifu
      Joylee shupavu na mwenye bidii.
      2020-04-04T13:53:37-03:00Alijibu 1:53 um

      Hakikisha umeosha mikono kwa makini kila wakati unaposalimia mtu yeyote.

      Hakikisha umeosha mikono kwa makini kila wakati unaposalimia mtu yeyote.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 18/07/2020
      • Majibu: 2

      Je, ni vyakula gani vinavyoongeza kinga mwilini?

      Hasa wakati huu wa janga la corona tunahimizwa sana tule vyakula ambavyo vinaongeza kinga mwilini.

      • Tarehe: 07/06/2020
      • Jibu: 1

      Je , gonjwa gani unahisi ni tishio sana kwa maisha ...

      Mimi naamini ni Cancer

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Shirika la Afya Duniani (WHO) itaendeleaje bila ufadhili wa ...

      Sasa hivi rais wa marekani ametangaza kukatisha uhusiano na WHO.

      • Tarehe: 23/05/2020
      • Majibu: 2

      Unahisi vipi kufuatia ongezeko ya idadi kubwa ya watu waliogua ...

      Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. Je, nini kinaweza kuwa chanzo na ongezeko ya idadi ya watu walio na Korona?

      • Tarehe: 19/05/2020
      • Jibu: 1

      Wagonjwa wa Korona nchini Tanzania ni wagapi kijumla?

      Serikali ya Tanzania ilitangaza kwa haitahesabu idadi ya wagonjwa wa Korona pindi tu walifikisha idadi ya watu 509 na vifo 21. Je wagonjwa wa Korona nchini Tanzania wamefika wagapi Hadi leo?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 3

      Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya ...

      Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Ni mambo gani ambayo umepanga utafanya pindi tu serikali itakapo ...

      Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini ...

      Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais