Ni wazi kuwa, watu wengi hawayuko kazini kufuatia janga ka Korona. Wanaochimbiana wanatarajia siku itafika waweze kufunga ndoa. Utawezaje ng’amua iwapo mpenzi uliye naye wakati huu ndiye mtakaye funga ndo pamoja naye?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Hiyo inategemea na wewe binafsi lakini ningeomba kama huna nia ya kumuoa msichana wa watu usimpotezee muda wake na kumuharibia maisha yake. Nyinyi wenyewe mnawaharibu wasichana halafu mnawatupa mkisema kuwa mnataka kuwaoa mabikira. Je, ni ungwana kweli? Kwani wasichana hawa hawajitoi ubikira. Na kumSoma zaidi
Hiyo inategemea na wewe binafsi lakini ningeomba kama huna nia ya kumuoa msichana wa watu usimpotezee muda wake na kumuharibia maisha yake. Nyinyi wenyewe mnawaharibu wasichana halafu mnawatupa mkisema kuwa mnataka kuwaoa mabikira. Je, ni ungwana kweli? Kwani wasichana hawa hawajitoi ubikira. Na kumbuka dunia ni duara, unyama unaowafanyia wasichana hawa wataja fanyiwa kizazi chako pia.
Angalia kidogoNi wengi wanaochimbiana ila ni wachache tu huwa wanafunga ndoa. Kunao wanaochimbiana kwa miaka mingi lakini mwishowe wanaachana tu. Iwapo mnachumbiana unaweza njua kama mtaweza kuoana kwa kutazama jinsi mnavyoishi. Iwapo mtu akona mpango wa kukuoa hatafanya mambo mingi yanayo changia maisha yenu yaSoma zaidi
Ni wengi wanaochimbiana ila ni wachache tu huwa wanafunga ndoa. Kunao wanaochimbiana kwa miaka mingi lakini mwishowe wanaachana tu.
Iwapo mnachumbiana unaweza njua kama mtaweza kuoana kwa kutazama jinsi mnavyoishi.
Iwapo mtu akona mpango wa kukuoa hatafanya mambo mingi yanayo changia maisha yenu ya siku za usoni lakini iwapo mtu Hana mpango ya kukuoa mambo hatakayofanya ni ya muda mfupi tu.
Asante Sana.
Angalia kidogo