Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Jitambulisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.

Ingiza namba ya 3 kuendelea yaani: ( 3 )

Tayari una akaunti? Jitambulisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
JitambulishaJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Vyeo
    • Vyeo
    • Matuzo
    • Watumiaji Wengine
  • Kutuhusu
    • Kutuhusu
    • MUS (maswali ulizwa sana)

Profile menu

  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Ufuasi
    • Maswali Unayofuata
    • Watu Unaofuata
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 07/11/2022 saa 11:39 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 06/11/2022 saa 12:38 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.tarehe 02/08/2022 saa 3:01 mu
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 03/07/2022 saa 3:35 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.tarehe 01/04/2022 saa 6:17 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
    • Wasifu
    • Faragha
    • Barua Pepe
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7491
Inashughulikiwa
Joylee
Joylee
aliuliza 19/04/20202020-04-19T03:15:56-03:00 2020-04-19T03:15:56-03:00kwa Mahusiano

Unawezaje jua iwapo utaweza kuoa mpenzi uliye naye wakati huu

Ni wazi kuwa, watu wengi hawayuko kazini kufuatia janga ka Korona. Wanaochimbiana wanatarajia siku itafika waweze kufunga ndoa. Utawezaje ng’amua iwapo mpenzi uliye naye wakati huu ndiye mtakaye funga ndo pamoja naye?

  • 0
  • 2
  • 1
Jibu
Shea
  • Facebook

    2 Majibu

    • Kura
    • Mapya
    • Zamani
    1. ERIC Naweza
      2020-04-19T03:47:07-03:00Alijibu tarehe 19/04/2020 saa 3:47 mu

      Ni wengi wanaochimbiana ila ni wachache tu huwa wanafunga ndoa. Kunao wanaochimbiana kwa miaka mingi lakini mwishowe wanaachana tu. Iwapo mnachumbiana unaweza njua kama mtaweza kuoana kwa kutazama jinsi mnavyoishi. Iwapo mtu akona mpango wa kukuoa hatafanya mambo mingi yanayo changia maisha yenu yaSoma zaidi

      Ni wengi wanaochimbiana ila ni wachache tu huwa wanafunga ndoa. Kunao wanaochimbiana kwa miaka mingi lakini mwishowe wanaachana tu.

      Iwapo mnachumbiana unaweza njua kama mtaweza kuoana kwa kutazama jinsi mnavyoishi.

      Iwapo mtu akona mpango wa kukuoa hatafanya mambo mingi yanayo changia maisha yenu ya siku za usoni lakini iwapo mtu Hana mpango ya kukuoa mambo hatakayofanya ni ya muda mfupi tu.

      Asante Sana.

      Angalia kidogo
      • 1
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. CarolGK Napenda lugha
      2020-07-01T01:45:03-03:00Alijibu tarehe 01/07/2020 saa 1:45 mu

      Hiyo inategemea na wewe binafsi lakini ningeomba kama huna nia ya kumuoa msichana wa watu usimpotezee muda wake na kumuharibia maisha yake. Nyinyi wenyewe mnawaharibu wasichana halafu mnawatupa mkisema kuwa mnataka kuwaoa mabikira. Je, ni ungwana kweli? Kwani wasichana hawa hawajitoi ubikira. Na kumSoma zaidi

      Hiyo inategemea na wewe binafsi lakini ningeomba kama huna nia ya kumuoa msichana wa watu usimpotezee muda wake na kumuharibia maisha yake. Nyinyi wenyewe mnawaharibu wasichana halafu mnawatupa mkisema kuwa mnataka kuwaoa mabikira. Je, ni ungwana kweli? Kwani wasichana hawa hawajitoi ubikira. Na kumbuka dunia ni duara, unyama unaowafanyia wasichana hawa wataja fanyiwa kizazi chako pia.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Facebook
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 14/06/2020
      • Majibu: 0

      Je, ni mtu wa kabila gani huwezi kuolewa naye na ...

      • Tarehe: 12/06/2020
      • Jibu: 1

      Je, unaweza kuoa au kuolewa na mtu ambaye si wa ...

      • Tarehe: 05/06/2020
      • Jibu: 1

      Je, nijuaje kama mwanamume ni mtu mkweli katika uhusiano?

    • Umewahi kubaguliwa na mzungu?
      • Tarehe: 02/06/2020
      • Jibu: 1

      Umewahi kubaguliwa na mzungu?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 3

      Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya ...

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Ni mambo gani ambayo umepanga utafanya pindi tu serikali itakapo ...

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini ...

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Vyeo
      • Vyeo
      • Matuzo
      • Watumiaji Wengine
    • Kutuhusu
      • Kutuhusu
      • MUS (maswali ulizwa sana)

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi
    • swSwahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrancais