Namna za kawaida za kusalimiana kifaransa ni nyingi mno. Lakini nitataja mbili za kirafiki zinazotumika sana na majibu yao: 1) Comment Ca Va _ Ca Va bien et toi(nzuri) /Ca Va mai(mbaya). 2) Comment Vas tu _ Je Vais bien, et toi/Comme Ci Comme Ca.
Namna za kawaida za kusalimiana kifaransa ni nyingi mno. Lakini nitataja mbili za kirafiki zinazotumika sana na majibu yao:
1) Comment Ca Va _ Ca Va bien et toi(nzuri) /Ca Va mai(mbaya).
2) Comment Vas tu _ Je Vais bien, et toi/Comme Ci Comme Ca.
Wata wanasemaga "ça va" kwa kifaransa kumaanisha "habari yako". "Ça va" inatamka kama "saa vaa" kwa utamshi ya kiswahili. Unaweza kuuliza kuhusu chochote na usemi wa "ça va". Mifano ndio hii: "ça va rafiki wako?" ama "ça va siku yako" ama "ça va kazi yako?". Mbali na hayo pia "ça va" peke yake iSoma zaidi
Wata wanasemaga “ça va” kwa kifaransa kumaanisha “habari yako”. “Ça va” inatamka kama “saa vaa” kwa utamshi ya kiswahili.
Unaweza kuuliza kuhusu chochote na usemi wa “ça va”. Mifano ndio hii: “ça va rafiki wako?” ama “ça va siku yako” ama “ça va kazi yako?”. Mbali na hayo pia “ça va” peke yake inaweza kumaanisha “uko sawa?” ama “niko sawa”.
Kwa hivyo ni kawaida kusikiliza mapeano ya salimu zinazoanza “ça va” zinazokwisha tena na “ça va”.
Haya hiyo ni somo kubwa wa kifaransa sasa unaweza kufanya mazungumzo mazima na wengi.
Chungu vizuri lakini usitumie “ça va” na wafaransa wenyewe usiowajua tayari maanake inabidi kutumia salimu sahihi ya kuheshimu kama “comment allez vous” ama kwa utamshi kwa kiswahili “komo alee vuu”.
CarolGK

Angalia kidogoToujoursKwako

Angalia kidogoCloudy2
Kwa hivyo "ça va siku yako" inafaa?
Kwa hivyo “ça va siku yako” inafaa?
Angalia kidogo