Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
Weka sahihiJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

Joylee
Joylee
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako19/01/2021 saa 12:13 mu
      • Admin alifuata swali lako.19/01/2021 saa 12:08 mu
      • Admin alipigia kura swali lako19/01/2021 saa 12:07 mu
      • Admin alipiga kura kwa swali lako.19/01/2021 saa 12:07 mu
      • MamaYako alipiga kura kwa swali lako.18/01/2021 saa 11:59 um
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7851
Inashughulikiwa
Joylee
Joylee

Joylee

  • shupavu na mwenye bidii.
  • 41 Maswali
  • 43 Majibu
  • 1 Jibu Bora
  • 70 Pointi
Ona Wasifu
Joylee
Uliulizwa: 03/05/20202020-05-03T07:17:21-03:00 2020-05-03T07:17:21-03:00Katika: Zote Zingine

Unaonelea kafiu inafaa kuondolewa ama iendelee?

Je, serikali ya Kenya inapaswa kuondoa kafiu. Kizuizi cha kuingia kwa nyumba kabla ya saa moja jioni? Toa maoni yako.

  • 0
  • 1
  • 274
  • 0
Jibu
Shea
  • Picha za

    Jibu1

    • yenye Kura
    • Mapya
    • ya Zamani
    1. CarolGK

      CarolGK

      • Napenda lugha
      • 13 Maswali
      • 100 Majibu
      • 8 Majibu Bora
      • 118 Pointi
      Ona Wasifu
      CarolGK Napenda lugha
      2020-07-08T01:50:57-03:00Aliongeza jibu kwa$ s kwa$ s

      Kama waliondoa lockdown sioni haja ya kafiu tena. Ni kujidanganya tu.

      Kama waliondoa lockdown sioni haja ya kafiu tena. Ni kujidanganya tu.

      Angalia kidogo
      • 1
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 19/06/2020
      • Jibu: 1

      BBC Swahili inasikika katika nchi ngapi?

      Unaweza kunitajia nchi ambazo watu wake wanasikiliza BBC idhaa ya Kiswahili?. Na wanasikiliza kupitia vituo gani vya redio katika nchi zao, au wanatumia njia gani nyingine?

      • Tarehe: 03/06/2020
      • Jibu: 1

      Baada ya matukio mengi mwakani - una malengo gani?

      Naona Diamond ana malengo mazuri sana tunayoweza kufuatia. Je, kwako ni vipi?

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Jibu: 1

      Je wazo lako ni gani kufuatilia ugonjwa hatari wa Korona?

      Ugonjwa wa Korona ni hatari mno. Kwa miezi tatu iliyopita umeweza kuadhiri dunia yote Sana. Watu wengi wana mawazo tofauti ambayo yanafaa kutekelezwa, kuhusiana na ugonjwa huu. Je unawaza vipi kutokana na ugonjwa huu?

    • Je, ushatimiza ndoto yako ya utotoni?
      • Tarehe: 30/05/2020
      • Jibu: 1

      Je, ushatimiza ndoto yako ya utotoni?

      Kila mtoto huwa na ndoto ambayo angependa kuitimiza atakapokuwa mkubwa. Ni asilimia kidogo sana ambayo hufikia ndoto hizo.  Je, ulikuwa na ndoto gani utotoni wako?  Ushaitimiza?  Iwapo hapana, bado unaona utaitimiza ama la?

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 3

      Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya ...

      Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Ni mambo gani ambayo umepanga utafanya pindi tu serikali itakapo ...

      Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini ...

      Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais