Sasa dunia pote panachukua hatua kupigana na virusi. Lakini huko congo na pengine Afrika tayari tunashughulikia maradhi kama ebola. Si waafrika wa Afrique de l’est wamezoea? Masaibu ya ebola imekuwapo Beni kwa muda. Sasa Corona inabisha mlango. Mimi nataka kujua – unaogopa ebola ama corona zaidi? Ebola ina taux de mortality (idadi waliokufa) zaidi lakini Corona ina taux de transmission (idadi walioambukiza) zaidi.
Luyela
Corona ni hatari zaidi kwa maana inaambukizwa kwa urahisi zaidi hivo kufanya athari zake kua kubwa zaidi
Corona ni hatari zaidi kwa maana inaambukizwa kwa urahisi zaidi hivo kufanya athari zake kua kubwa zaidi
Angalia kidogoCloudy2
Kwa hivyo corona itakuwa athari kubwa zaidi kwa ujumla lakini kama mtu binafsi ebola ni hatari zaidi
Kwa hivyo corona itakuwa athari kubwa zaidi kwa ujumla lakini kama mtu binafsi ebola ni hatari zaidi
Angalia kidogoCarolGK
Corona kwa sababu imesambaa haraka sana katika mataifa yote. Ebola angalau imeweza kudhibitiwa katika mataifa machache
Corona kwa sababu imesambaa haraka sana katika mataifa yote. Ebola angalau imeweza kudhibitiwa katika mataifa machache
Angalia kidogoJoylee
Korona ni hatari kwa kuwa ukishikwa nayo unafariki na muda mfupi sana. Ebola unaweza ukaithibiti na isizidi makali.
Korona ni hatari kwa kuwa ukishikwa nayo unafariki na muda mfupi sana. Ebola unaweza ukaithibiti na isizidi makali.
Angalia kidogoCloudy2
www.who.org inasema corona hatari zaidi kwa binadamu zote... Bila shaka ebola ni mbaya zaidi kwa mtu mwenyewe binafsi Sawa
http://www.who.org inasema corona hatari zaidi kwa binadamu zote… Bila shaka ebola ni mbaya zaidi kwa mtu mwenyewe binafsi
Sawa
Angalia kidogo