Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?
Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini Diamond na timu lake kupitia kandarasi?
Shea
Nadhani Magix Enga alisema alichosema kutafuta kiki tu kwani hana uwezo wa kumsaini Diamond Platinumz na kikosi chake.
Nadhani Magix Enga alisema alichosema kutafuta kiki tu kwani hana uwezo wa kumsaini Diamond Platinumz na kikosi chake.
Angalia kidogo