Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. Je, nini kinaweza kuwa chanzo na ongezeko ya idadi ya watu walio na Korona?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Chanzo kubwa cha ongezeko la idadi ya watu walio na Corona ni idadi ya watu wanaopimwa pia. Idadi ya watu waliopimwa ikiongezeka lazima kesi nazo ziongezeke. Kitu kingine nacho ni upuuzaji wa raia kuhusu janga hili. Watu wakifuata masharti ndivyo gonjwa hili litakavyoisha haraka.
Chanzo kubwa cha ongezeko la idadi ya watu walio na Corona ni idadi ya watu wanaopimwa pia. Idadi ya watu waliopimwa ikiongezeka lazima kesi nazo ziongezeke.
Kitu kingine nacho ni upuuzaji wa raia kuhusu janga hili. Watu wakifuata masharti ndivyo gonjwa hili litakavyoisha haraka.
See lessERIC
Idadi ya watu walio na Korona inaongezeka kila uchao. Ugonjwa wa Korona unaogezeka kwa haraka Sana kutokana na idadi kubwa ya watu kutotilia maanani sheria zilizowekwa ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu. Kutokana na hali ya umasikini katika nchi mingi. Ni ngumu sana serikali kuamrisha watu wakae nyumSoma Zaidi
Idadi ya watu walio na Korona inaongezeka kila uchao. Ugonjwa wa Korona unaogezeka kwa haraka Sana kutokana na idadi kubwa ya watu kutotilia maanani sheria zilizowekwa ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu.
Kutokana na hali ya umasikini katika nchi mingi. Ni ngumu sana serikali kuamrisha watu wakae nyumbani kwani watu wengemea pesa wanaopata kila siku kupata chakula chao cha kila siku.
See less