Baada ya Kaligraph kutoa mziki wake mpya uliovuma kwote Afrika Mashariki. Kwenye mziki unamskia Kaligraph akisema kuwa “Bahati amekua mtoto wa Diana.” Maneno haya yamezua mijadala nyingi ya jinsi Bahati amelemewa na ndoa yake na Diana. Unahisi vipi kutokana na jambo hili?
Shea
Sidhani kuna ugomvi wowote Kati ya Kaligraph Jones na Kevin Bahati. Kaligraph alitaja Bahati kama mmoja wa watu mashuhuri ambao wamepata uonevu kutoka kwa mashabiki kwanza akisema kuwa, "Kuwa celebrity ni gharama juu wakishakujua ni lawama. Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama sahii Twitter amegeuziSoma zaidi
Sidhani kuna ugomvi wowote Kati ya Kaligraph Jones na Kevin Bahati. Kaligraph alitaja Bahati kama mmoja wa watu mashuhuri ambao wamepata uonevu kutoka kwa mashabiki kwanza akisema kuwa, “Kuwa celebrity ni gharama juu wakishakujua ni lawama. Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama sahii Twitter amegeuziwa kuwa mtoto wa Diana. Hakuna siri ni kulenga tu”, anasema Kaligraph katika wimbo wake.
Angalia kidogoUkisikiza maneno haya ni kweli kuwa yanakera mno lakini ukweli ni kuwa yakona maana fiche. Mara mingi watu huwa wanataka wasanii wasihishi kama watu wa kawaida. Wasanii ni watu kama wewe na Mimi na wanafaa kuishi kama watu. Mara kwa mara utawasikia watu wakiwakemea wasanii kwa kutenda Jambo Fulani aSoma zaidi
Ukisikiza maneno haya ni kweli kuwa yanakera mno lakini ukweli ni kuwa yakona maana fiche.
Mara mingi watu huwa wanataka wasanii wasihishi kama watu wa kawaida.
Wasanii ni watu kama wewe na Mimi na wanafaa kuishi kama watu.
Mara kwa mara utawasikia watu wakiwakemea wasanii kwa kutenda Jambo Fulani ambalo ni la kawaida kwa maisha ya binadamu.
Wimbo wa Khaligraph-na Masauti unazungumzia jinsi wasanii na watu kijumla wanafaa kuishi hata wakikemewa.
Sioni ubaya wowote na hili.
Asante Sana
Angalia kidogo