Duniani kumekuwa na upugufu WA kazi. Kila mwaka vijana wengi wanatuzwa kwa kukamilisha masomo Yao ya chuo kikuu lakini kupata kazi imekuwa balaa Sana. Vijana wengi wameamua kuanzisha bihashara,
Je uliwahi anzisha bihashara gani? Ilikuletea faida au hasara?
Uliwahi anzisha bihashara gani?
Shea
Hapo mbeleni nlikua nimeweka biashara ya kuuza nguo za wanawake. Biashara hii ilinawiri kwa miaka kama tatu hivi. Nlipata faida maradufu.Ila wakati huu wa Korona biashara yangu iliweza kudhoofika mno na hata kulazimika kuifunga.

Angalia kidogoWakati huu wa janga la corona nilianza biashara ya kutengeneza na kuuza barakoa na imenawiri sana. Nashukuru Mola.
Wakati huu wa janga la corona nilianza biashara ya kutengeneza na kuuza barakoa na imenawiri sana. Nashukuru Mola.
Angalia kidogo