Dunia yote imepata hasara kubwa kutokana na ugonjwa wa Korona. Ni hamu ya kina mtu ugonjwa wa Korona huweze kuisha.
Maobi ya kila mtu ni mungu asaidie wanasayansi kupata dawa.
Je kwa maoni yako ugonjwa huu unaweza kuisha lini?
Ugonjwa wa Korona unaweza kuisha lini?
Shea
Cloudy2
Hatua ya kupimapima zimeanza lakini itakuwa muda mpaka tuwe na vaccine ifikapo mwaka 1... Kwa hivyo naona mwanzoni mwa mwaka ujao.
Hatua ya kupimapima zimeanza lakini itakuwa muda mpaka tuwe na vaccine ifikapo mwaka 1… Kwa hivyo naona mwanzoni mwa mwaka ujao.
Angalia kidogoJoylee
Sasa hivi kumetangzwa kuwa kuna vaksini imzinduliwa na bado iko maabarana shule kikuu cha Oxford kufanyiwa utafiti. Habari hii njema imewapa wengi afueni kitokana na janga hili. Naonelewa ugonjwa huu unaeza endelea kuzidi kwa mwaka huu wote hadi kufikia mwaka ujao. Ilhali itategemea juhudi za serikaSoma zaidi
Sasa hivi kumetangzwa kuwa kuna vaksini imzinduliwa na bado iko maabarana shule kikuu cha Oxford kufanyiwa utafiti. Habari hii njema imewapa wengi afueni kitokana na janga hili. Naonelewa ugonjwa huu unaeza endelea kuzidi kwa mwaka huu wote hadi kufikia mwaka ujao. Ilhali itategemea juhudi za serikali katika kubambana na virusi hivi hatari vya Corona.
Angalia kidogoMamaYako
Korona itaisha kwa kiasi kidogo kila siku sio eti kama itaisha ghafla bali kila siku hatari itapungua kidogo mpaka watu wanajisikia wapo salama wakitoka. Hatua ya serikali yataisha baada ya miezi kadhaa kwa maoni yangu.
Korona itaisha kwa kiasi kidogo kila siku sio eti kama itaisha ghafla bali kila siku hatari itapungua kidogo mpaka watu wanajisikia wapo salama wakitoka. Hatua ya serikali yataisha baada ya miezi kadhaa kwa maoni yangu.
Angalia kidogo