Mimi naona watu wanasikia huruma kwa Diamond lakini mbona tumesahau jinsi Tanasha alikuwa mpole sio kama wengine katika maisha ya nyota. Yeye alimheshimu Diamond sana hata wakati yeye alikuwa mbaya akimdanganya. #TeamTanasha

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
CarolGK
Tanasha alimpenda Diamond kwa dhati na alimheshimu kuliko wanawake wote Diamond aliowahi kuwa nao. Tanasha alijizatiti kwenye mahusiano hayo yaliyokuwa na changamoto tele na ata kuwa mtulivu na mwaminifu kabisa ata iwapo hakupata zawadi kubwa kubwa za majumba na magari kama wapenzi wa awali wa diamoSoma Zaidi
Tanasha alimpenda Diamond kwa dhati na alimheshimu kuliko wanawake wote Diamond aliowahi kuwa nao. Tanasha alijizatiti kwenye mahusiano hayo yaliyokuwa na changamoto tele na ata kuwa mtulivu na mwaminifu kabisa ata iwapo hakupata zawadi kubwa kubwa za majumba na magari kama wapenzi wa awali wa diamond. Alichokipata tu kutoka kwa diamond ni simu ya aina ya iPhone kumaanisha alimpenda diamond kikweli na wala si sababu ya pesa. Ijapokuwa alivamiwa na watanzania sana na kulinganishwa sana mwonekano wake na ule wa Zari, alivumilia tu na kujipa moyo na hakuonekana mwenye kujibizana na watu ila aliitunza ndoa yake.
Ata hivyo, asante ya punda ni mateke. Yaliyotarajiwa yalifanyika. Kama kawaida, Diamond alimlipa mwanadada wetu mwaminifu Tanasha, kwa kumdanganya na kujihusisha na mahusiano ya nje ya ndoa na mwanadada aliyekuwa akikata mauno kwenye wimbo wake wa Jeje. Diamond ni kijana mwenye tamaa sana na anapenda kujihusisha kingono na wasichana na wanawake wa hulka zote kwani anajiringia kuwa mwenye pesa na umaarufu.
Barua aliyoiandika Tanasha kwenye mitandao ya kijamii ilitokana na machungu na alikuwa akijieleza mbona akamuacha Diamond na wala sioni matusi yoyote hapo. Hii ni sababu hapo awali hatukuzoea kumuona Tanasha akiyaanika madhaifu ya mahusiano yao kwenye mitandao ya kijamii kama wapenzi wake wa awali Diamond. Naona kuwa Tanasha alifanya jambo la busara sana kumuacha Diamond, kwani angekufa kutokana na msongo wa mawazo. Diamond hafai mwanadada bora kama Tanasha Donna.
Mwanamme asiyejua dhamana ya uaminifu katika mahusiano hamfai mwanamke yoyote mwema. Tanasha kumuacha Diamond inaonyesha wazi kuwa anajipenda, anajidhamini na anajiheshimu kuliko kuvumilia kutumika kama kikoroboi cha taa, usiku anamuwasha kisha mchana anamzima. Wanawake wote wanafaa wajifunze kutokana na tukio hili na wajiheshimu na wala wasikubali kudharauliwa na mwanamme yeyote sababu ya cheo chake.
Tanasha anafaa ajiokote, arudie shughuli zake za kawaida na amlee mtoto wake na amsahau Diamond kabisa.
Hongera sana Tanasha, mama Naseeb Junior. Tunakupenda sana na tunakutazamia sana. Endelea kupeperusha bendera ya Kenya juu zaidi na utapata mwanamme atayekupenda kikweli. Pia wewe ni mwanamke hodari ambaye anaweza jikimu kivyake kwani kuishi bila mme si ulemavu.
#Timu Tanasha damu!
See lessJoylee
Ni wazi kwamba Tanasha alikua amejizatiti katika uhusiano wake na Diamond. Ila kutokana na histori ya Diamond kuwa na wanawake wengi, watu webgi walitarajia watawachana siku moja. Diamond sio mpenzi wa mmoja ila, ana tamaa ya wanawake wengi. Ni vyema Tanasha kujipa moyo na kuendelea maishani pasipoSoma Zaidi
Ni wazi kwamba Tanasha alikua amejizatiti katika uhusiano wake na Diamond. Ila kutokana na histori ya Diamond kuwa na wanawake wengi, watu webgi walitarajia watawachana siku moja. Diamond sio mpenzi wa mmoja ila, ana tamaa ya wanawake wengi. Ni vyema Tanasha kujipa moyo na kuendelea maishani pasipo Daimond. Namtakia Tanasha kila la heri maishani mwake.
See lessERIC
Iwapo Tanasha alikuwa mwenye mapezi ya dhati vasi bona akatusi Diamond kwenye mitandao ya kijamii? Maoni yangu ni kwamba Kati ya Tanasha na Diamond hakuna aliyekuwa na mapezi ya dhati.
Iwapo Tanasha alikuwa mwenye mapezi ya dhati vasi bona akatusi Diamond kwenye mitandao ya kijamii? Maoni yangu ni kwamba Kati ya Tanasha na Diamond hakuna aliyekuwa na mapezi ya dhati.
See lessMamaYako
Kweli Tanasha anamtusi Diamond? Si ni yeye naye ameanza fujo hiyo? Yeye hawezi kukaa na dem moja. Basi ni sawa ndio tabia ya wanaume lakini angalau akiri hivyo wazi.
Kweli Tanasha anamtusi Diamond? Si ni yeye naye ameanza fujo hiyo? Yeye hawezi kukaa na dem moja. Basi ni sawa ndio tabia ya wanaume lakini angalau akiri hivyo wazi.
See less