Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
Weka sahihiJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

Cloudy2
Cloudy2
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako19/01/2021 saa 12:13 mu
      • Admin alifuata swali lako.19/01/2021 saa 12:08 mu
      • Admin alipigia kura swali lako19/01/2021 saa 12:07 mu
      • Admin alipiga kura kwa swali lako.19/01/2021 saa 12:07 mu
      • MamaYako alipiga kura kwa swali lako.18/01/2021 saa 11:59 um
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7764
Inashughulikiwa
Cloudy2
Cloudy2

Cloudy2

  • Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
  • 8 Maswali
  • 30 Majibu
  • 2 Majibu Bora
  • 92 Pointi
Ona Wasifu
Cloudy2
Uliulizwa: 27/04/20202020-04-27T21:30:12-03:00 2020-04-27T21:30:12-03:00Katika: Safari

Tofauti kati SGR ya Kenya na ya Tanzania ni nini?

Watu wengi wanaongea juu ya miradi hiyo kubwa sana. Tofauti ni zipi?

Tofauti kati SGR ya Kenya na ya Tanzania ni nini?
  • 2
  • 3
  • 487
  • 1
Jibu
Shea
  • Picha za

    Majibu3

    • yenye Kura
    • Mapya
    • ya Zamani
    1. Mkubwa

      Mkubwa

      • Dunia inaisha Mungu atabaki
      • 8 Maswali
      • 15 Majibu
      • 1 Jibu Bora
      • 74 Pointi
      Ona Wasifu
      Mkubwa Dunia inaisha Mungu atabaki
      2020-05-01T15:26:42-03:00Aliongeza jibu kwa$ s kwa$ s

      Kenya Tanzania Nishati petroli umeme Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda Gharama kwa mita nyingi sio nyingi Ufadhili China Uturuhuki, Ureno Mwaka ilioanzishwa 2017 2019 Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi   Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.

      Kenya Tanzania
      Nishati petroli umeme
      Urefu Uliopangwa mpaka Uganda mpaka Rwanda
      Gharama kwa mita nyingi sio nyingi
      Ufadhili China Uturuhuki, Ureno
      Mwaka ilioanzishwa 2017 2019
      Ubia wa Nchi Jirani Uganda Kongo, Rwanda, Burundi

       

      Niambie kama nilkosa kitu kwa meza ya juu.

      Angalia kidogo
      • 2
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
      • 1
      • Nilote4life

        Nilote4life

        • Naamini kwa uwezo wa utu
        • 2 Maswali
        • 12 Majibu
        • 2 Majibu Bora
        • 37 Pointi
        Ona Wasifu
        Nilote4life Naamini kwa uwezo wa utu
        2020-05-01T21:32:03-03:00Alijibu kwa jibu kwa$ s kwa$ s

        Unachosema basi ni ya kwamba Tanzania inashinda Kenya katika mashindano ya SGR 🤣 hata Burundi congo na Rwanda zipo akina Magafuli.

        Unachosema basi ni ya kwamba Tanzania inashinda Kenya katika mashindano ya SGR 🤣 hata Burundi congo na Rwanda zipo akina Magafuli.

        Angalia kidogo
        • 0
        • Shiriki
          Shea
          • Picha za
          • Twitter
          • WhatsApp
    2. CarolGK

      CarolGK

      • Napenda lugha
      • 13 Maswali
      • 100 Majibu
      • 8 Majibu Bora
      • 118 Pointi
      Ona Wasifu
      CarolGK Napenda lugha
      2020-06-18T14:18:48-03:00Aliongeza jibu kwa$ s kwa$ s

      SGR ya Kenya ilitengenezwa na kampuni na ufadhili wa kichina, ilihali SGR ya Tanzania ilifadhiliwa na pia kutengenezwa na nchi ya Uturuki chini ya kampuni inayoitwa Yapi Merkezi

      SGR ya Kenya ilitengenezwa na kampuni na ufadhili wa kichina, ilihali SGR ya Tanzania ilifadhiliwa na pia kutengenezwa na nchi ya Uturuki chini ya kampuni inayoitwa Yapi Merkezi

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

    • Swali API test
      • Tarehe: 17/01/2021
      • Majibu: 0

      Swali API test

      • Tarehe: 15/06/2020
      • Jibu: 1

      Je, maishani mwako ungependa kutembelea nchi gani?

      Taja sababu ya kupendezwa na nchi hiyo, kiwango hicho

      • Tarehe: 25/05/2020
      • Majibu: 2

      Tanzania kuruhusu watalii ni Jambo mzuri?

      Juma iliyopita Rais wa Tanzania John Magufuli alihamrisha raia wa Tanzania waendelee na shughuli zao za kawaida. Mojawapo wa Jambo alizosema zitaendelea ni kutembelea kwa watalii nchini. Leo Watalii wameanza kuwasili nchini Tanzania. Je hili ni Jambo la busara?

      • Tarehe: 11/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, ni nchi gani ungependa kutembea Afrika?

      Nchi za Afrika zina sifa tofauti zinazozifanya kupendeza na pia kufanya watu wengi wapende kutembelea nchi hizo ili kujionea kama sifa hizi ni Kweli. Huku ukitoa sababu ni nchi gani ungependa kutembelea?

      • Tarehe: 13/04/2020
      • Majibu: 3

      ni vyema kusafiri kutoka mjini kwende mashambani kwa wazazi?

      Je, inapaswa watu waliokua wakiishi mjini kusafiri shambani kwa wazazi wao?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 09/01/2021
      • Majibu: 2

      Je, wapwani wana nafasi yao stahili kwenye urais?

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Shirika la Afya Duniani (WHO) itaendeleaje bila ufadhili wa ...

      Sasa hivi rais wa marekani ametangaza kukatisha uhusiano na WHO.

    • Je, watu wangapi hufa kila mwaka kutoka Malaria nchini Tanzania?
      • Tarehe: 05/05/2020
      • Jibu: 1

      Je, watu wangapi hufa kila mwaka kutoka Malaria nchini Tanzania?

      Nimewahi kusikia malaria yaua sana lakini sijui idadi kwa hasa.  Naona ni muhimu kujua mara ngapi Korona ni hatari zaidi kwa watu.  Baki salama na chukueni hatua za kujilinda.

      • Tarehe: 17/04/2020
      • Majibu: 4

      Huu wimbo inawakilisha waafrika wote hali ilivyo sasa?

      Naipenda wimbo huu sana.  Inabeba matumaini ya siku bora zijazo

    • Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki
      • Tarehe: 05/04/2020
      • Majibu: 5

      Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki

      Wawekezaji wanatulia nyakati hizi. Najiuliza athari zitakuwaje hasa Afrika Mashariki. Tunategemea utalii na exports. Sekta gani zingine zitaathirika?

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais