Juma iliyopita Rais wa Tanzania John Magufuli alihamrisha raia wa Tanzania waendelee na shughuli zao za kawaida.
Mojawapo wa Jambo alizosema zitaendelea ni kutembelea kwa watalii nchini. Leo Watalii wameanza kuwasili nchini Tanzania.
Je hili ni Jambo la busara?
Tanzania kuruhusu watalii ni Jambo mzuri?
Shea
Ijapo kuwa Rais Magufuli wa Tanzania ameweza kutia bidii katika kidhibiti Korona. Hii sionl hatua njema. Hii inaweza changia sana katika kuongeza idadi ya watu walioadhirika na virusi vya Korona. Ni vyema Rais wa Tanzania kuweza kuchukua hatua kabambe katika kubaliana na virusi hivi vya Korona. IliSoma zaidi
Ijapo kuwa Rais Magufuli wa Tanzania ameweza kutia bidii katika kidhibiti Korona. Hii sionl hatua njema. Hii inaweza changia sana katika kuongeza idadi ya watu walioadhirika na virusi vya Korona. Ni vyema Rais wa Tanzania kuweza kuchukua hatua kabambe katika kubaliana na virusi hivi vya Korona. Ili kuwalinda watanzania na waishi maisha bora.
Angalia kidogoSidhani hilo ni jambo la busara hata kidogo. Hii ni kuweka nchi ya Tanzania katika hatari ukizingatia hizi nchi za watalii nyingi ndo zina Covid kwa hivyo idadi ya maambukizi nchini Tanzania itaongezeka.
Sidhani hilo ni jambo la busara hata kidogo. Hii ni kuweka nchi ya Tanzania katika hatari ukizingatia hizi nchi za watalii nyingi ndo zina Covid kwa hivyo idadi ya maambukizi nchini Tanzania itaongezeka.
Angalia kidogo