Siku chache zilizopita kuna video iliyosambaza kwenye mitandao ilionyesha Rais wa Marekani Donald Trump akijibizana vibaya na Wanahabari je Tania hizi zinafaa?
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Rais wa Marekani Donald Trump anajulikana kama mwenye utovu wa nidhamu sana na hata mwenye ubaguzi wa rangi wa hali ya juu. Lakini kwenye swala zima la Uchina, mimi namuunga mkono kabisa. Dunia nzima inateseka sababu ya Uchina lakini utawaona hawo hawo wachina wakiwabagua watu weusi sababu ya CoronaSoma zaidi
Rais wa Marekani Donald Trump anajulikana kama mwenye utovu wa nidhamu sana na hata mwenye ubaguzi wa rangi wa hali ya juu. Lakini kwenye swala zima la Uchina, mimi namuunga mkono kabisa. Dunia nzima inateseka sababu ya Uchina lakini utawaona hawo hawo wachina wakiwabagua watu weusi sababu ya Corona.
Angalia kidogoRais wa Marekani Trump ana hulka potovu. Kutoka na video zilizosambaa zikiashiria jinsi rais Trump anavyo wajipu wanahabari maswali, Trump hana heshima kwa nchi zingine hasa China. Hii sio tabia njema hada ukiwa rais wa nchi iliheshima na kutambulika duniani kama Marekani.
Rais wa Marekani Trump ana hulka potovu. Kutoka na video zilizosambaa zikiashiria jinsi rais Trump anavyo wajipu wanahabari maswali, Trump hana heshima kwa nchi zingine hasa China. Hii sio tabia njema hada ukiwa rais wa nchi iliheshima na kutambulika duniani kama Marekani.
Angalia kidogo