Je ni vyema serikali ya Kenya kuiweka sheria kwamba kila mwananchi anapaswa kutembea akiwa amevalia maski kila wakati? Toa maoni yako
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Ndio inafaa, lakini hofu yangu ni kuwa hatutumii barakoa zinahitajika kuzuia maambukizi kwa sababu ya bei zao ghali. Hata hivyo, inafaa tuendelee kuvaa hizo tu za vitambaa ili kufuata sheria huku tukitumaini hatutapata maambukizi.
Ndio inafaa, lakini hofu yangu ni kuwa hatutumii barakoa zinahitajika kuzuia maambukizi kwa sababu ya bei zao ghali. Hata hivyo, inafaa tuendelee kuvaa hizo tu za vitambaa ili kufuata sheria huku tukitumaini hatutapata maambukizi.
Angalia kidogoNi vyema ikiwa wanasema kwa wananchi maski ama barakoa ni nini hasa. Hakuna anayeweza kugharamia barakoa zilizo pendekezwa basi si tuvalie maski zilizotengenezwa kwa vitambaa tuliyo nazo tayari. Yaani naona watu wengi wana uwezo wa kupata scarf ama kitu kama hiki. Ama ni namna gani?
Ni vyema ikiwa wanasema kwa wananchi maski ama barakoa ni nini hasa. Hakuna anayeweza kugharamia barakoa zilizo pendekezwa basi si tuvalie maski zilizotengenezwa kwa vitambaa tuliyo nazo tayari. Yaani naona watu wengi wana uwezo wa kupata scarf ama kitu kama hiki. Ama ni namna gani?
Angalia kidogoHakuna ukubali kabisa juu ya mask sana. Watu wa Asia huwa wanavaa. Watu wa Ulaya hawavai. Sababu ya mask ni ya kukinga jirani sio wewe.
Hakuna ukubali kabisa juu ya mask sana. Watu wa Asia huwa wanavaa. Watu wa Ulaya hawavai. Sababu ya mask ni ya kukinga jirani sio wewe.
Angalia kidogoSi Wakenya tu ila Nchi zote duniani zinafaa kuzingatia Sheria hili. Iwapo Raia wote watavaa Maski, ugonjwa wa Korona hautazidi kuenea.
Si Wakenya tu ila Nchi zote duniani zinafaa kuzingatia Sheria hili. Iwapo Raia wote watavaa Maski, ugonjwa wa Korona hautazidi kuenea.
Angalia kidogo