Katibu wa wizara ya afya Mtahi Kagwe alisema iwapo wakenya hawatazigatia kanuni zilizoitishwa ili kuzuia kusambaa kwa ugonjwa wa Korona, hatimaye mwisho wa Mwezi huu kutakuwa na wakenya 10,000 walioathirika. Jambo hili linawezekana kweli? Iwapo maoni haya ni kweli, Serikali ya Kenya litaweza kusuluhisha haha?
Shea
Kutokana na hatua kubwa idadi haitafikia mwezi huu
Kutokana na hatua kubwa idadi haitafikia mwezi huu
Angalia kidogo