Jisajili

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Jilogisha

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

Umesahau nywila?

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.

Ingiza namba 3 kuendelea ( 3 )

Tayari una akaunti? Jilogisha sasa

Pole, Watumiaji tu wanaweza kuuliza swali, Inabidi kujilogisha kwanza.

Facebook
Google
Twitter
ama tumia

Umesahau nywila?

Bado huna akaunti? Jisajili Hapa
Maswali Nembo Maswali Nembo
Weka sahihiJisajili

Maswali

Tafuta
Uliza Swali

Menyu ya wasifu

Funga
Uliza Swali
  • Nyumbani
  • Majukwaa
  • Ziada
    • Kutuhusu
    • Vyeo
    • Tagi
    • Wenzako
    • MUS

Profile menu

Joylee
Joylee
  • Michango
    • Maswali
    • Majibu
    • Majibu Bora
  • Historia
    • Vitendo
    • Vijulisho
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Pointi.23/01/2021 saa 7:20 um
      • Zawadi kwa kujiunga nasi. - 20 Points.22/01/2021 saa 5:46 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura kwa swali lako.21/01/2021 saa 4:48 mu
      • Admin alipiga kura dhidi ya swali lako19/01/2021 saa 12:13 mu
      • Ona Zote
    • Pointi
  • Jumbe
  • Mipangilio
  • Ondoka
Nyumbani / Maswali / Swali 7088
Inashughulikiwa
Joylee
Joylee

Joylee

  • shupavu na mwenye bidii.
  • 41 Maswali
  • 43 Majibu
  • 1 Jibu Bora
  • 70 Pointi
Ona Wasifu
Joylee
Uliulizwa: 08/04/20202020-04-08T13:13:13-03:00 2020-04-08T13:13:13-03:00Katika: Afya

Serikali imeshindwa kudhibiti Covid19?

Je ni kweli serikali ya Kenya imeshindwa kukabiliana na Covid19?

  • 1
  • 4
  • 419
  • 0
Jibu
Shea
  • Picha za

    4 Majibu

    • yenye Kura
    • Mapya
    • ya Zamani
    1. Joylee

      Joylee

      • shupavu na mwenye bidii.
      • 41 Maswali
      • 43 Majibu
      • 1 Jibu Bora
      • 70 Pointi
      Ona Wasifu
      Joylee shupavu na mwenye bidii.
      2020-04-13T06:45:53-03:00Alijibu 6:45 mu

      Wizara ya afya duniani imejaribu iwezavyo kuchangia katika kisaidia nchi amazo zimeathiriwa na Corona katika kubambana na virusi hivi. Ni vyema serikali ya kila nchi kujitahidi katika kupambana na Corona, wananchi wote wakiungana, tutaweza kupambana na virusi hivi vya Corona.

      Wizara ya afya duniani imejaribu iwezavyo kuchangia katika kisaidia nchi amazo zimeathiriwa na Corona katika kubambana na virusi hivi. Ni vyema serikali ya kila nchi kujitahidi katika kupambana na Corona, wananchi wote wakiungana, tutaweza kupambana na virusi hivi vya Corona.

      Angalia kidogo
      • 1
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    2. ERIC

      ERIC

      • Naweza
      • 39 Maswali
      • 42 Majibu
      • 0 Majibu Bora
      • 86 Pointi
      Ona Wasifu
      ERIC Naweza
      2020-04-10T07:14:49-03:00Alijibu 7:14 mu

      Ni Kweli hakuna serikali ya nchi yeyote duniani ambalo limeweza kukambiliana na ugonjwa wa Korona.

      Ni Kweli hakuna serikali ya nchi yeyote duniani ambalo limeweza kukambiliana na ugonjwa wa Korona.

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    3. Cloudy2

      Cloudy2

      • Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      • 8 Maswali
      • 30 Majibu
      • 2 Majibu Bora
      • 92 Pointi
      Ona Wasifu
      Cloudy2 Namiliki zote ndio mimi mkubwa wa dunia
      2020-04-10T02:30:30-03:00Alijibu 2:30 mu

      Wachache wanasema serikali za africa zinadhibiti kuliko marekani... Lakini naona labda hii ni mchezo? Wacha tuone

      Wachache wanasema serikali za africa zinadhibiti kuliko marekani… Lakini naona labda hii ni mchezo? Wacha tuone

      Angalia kidogo
      • 0
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp
    4. Upendo

      Upendo

      • Upendo ni jina na imani wangu
      • 3 Maswali
      • 11 Majibu
      • 1 Jibu Bora
      • 49 Pointi
      Ona Wasifu
      Upendo Upendo ni jina na imani wangu
      2020-04-08T15:13:28-03:00Alijibu 3:13 um

      Dunia yote imeshindwa kwa kiasi. Niambie nchi ambayo uenezi wa corona haupo? Hamna.

      Dunia yote imeshindwa kwa kiasi. Niambie nchi ambayo uenezi wa corona haupo? Hamna.

      Angalia kidogo
      • -1
      • Shiriki
        Shea
        • Picha za
        • Twitter
        • WhatsApp

    Lazima uingie ili kuongeza jibu.

    Facebook
    Google
    Twitter
    ama tumia

    Umesahau nywila?

    Bado huna akaunti? Jisajili Hapa

    Mwambaaupande

    Maswali Husika

      • Tarehe: 18/07/2020
      • Majibu: 2

      Je, ni vyakula gani vinavyoongeza kinga mwilini?

      Hasa wakati huu wa janga la corona tunahimizwa sana tule vyakula ambavyo vinaongeza kinga mwilini.

      • Tarehe: 07/06/2020
      • Jibu: 1

      Je , gonjwa gani unahisi ni tishio sana kwa maisha ...

      Mimi naamini ni Cancer

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Shirika la Afya Duniani (WHO) itaendeleaje bila ufadhili wa ...

      Sasa hivi rais wa marekani ametangaza kukatisha uhusiano na WHO.

      • Tarehe: 23/05/2020
      • Majibu: 2

      Unahisi vipi kufuatia ongezeko ya idadi kubwa ya watu waliogua ...

      Hivi majuzi serikali imetia bidii katika kuwapima wananchi virusi vya Korona. Hatua hii imefuatia watu wengi kupatikana na ugonjwa huu. Je, nini kinaweza kuwa chanzo na ongezeko ya idadi ya watu walio na Korona?

      • Tarehe: 19/05/2020
      • Jibu: 1

      Wagonjwa wa Korona nchini Tanzania ni wagapi kijumla?

      Serikali ya Tanzania ilitangaza kwa haitahesabu idadi ya wagonjwa wa Korona pindi tu walifikisha idadi ya watu 509 na vifo 21. Je wagonjwa wa Korona nchini Tanzania wamefika wagapi Hadi leo?

    Mengine ya Muulizaji Huyu

      • Tarehe: 30/05/2020
      • Majibu: 3

      Je, Donald Trump ameweza kuthibiti Korona Marekani au la?

      Kufuatia idadi kubwa ya wamerekani kuuguza na kufariki kutokana na virusi vya Korona. Rais Trump aliweza kutia mikakati zaidi ka kubaliana na Korona. Je hatua hii ya serikali ya Amerika imefaulu au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 3

      Hatua na serikali ya Kenya kuondo kafiu na vizuizi vya ...

      Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameweza kutangaza kwamba ataweza kuondoa vizuizi vya mpaka na hata kafiu. Je, hatua hii itasaidia katika kurejesha hali ya uchumi kama awali au la?

      • Tarehe: 28/05/2020
      • Majibu: 2

      Je, wanaume wamelegea katika kutekeleza majukumu ya ndoa?

      Hivi majuzi kumekite visa kadha hasa nchini Kenya pale ambapo wanaume wameadhibiwa na wapemzi kwa njia isiyo bora. Kwa mfano; Kutokea visa pale ambapo mwanamke mmoja amechanja kifuani mwanaume mmoja ambaye aliku ni mpenzi wake. Je, nini ambacho wanaume wanatenda

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Ni mambo gani ambayo umepanga utafanya pindi tu serikali itakapo ...

      Rais was Kenya Uhuru Kenyatta aliweza kutangaza kwamba baada ya siku zilizoongezwa za lockdown na kafiu kuisha, serikali itaweza kurejesha biashara kama hapo kitambo. Je, unaona kama hii ni wazo nzuri au la?

      • Tarehe: 26/05/2020
      • Jibu: 1

      Unahisi vipi kutokana na maoni ya Magix Enga kutaka kumsaini ...

      Hivi majuzi Magix Enga ameweza kutoa malalamishi akidai kwamba wimbo mpya ambao umetolewa na Diamond ina makosa mengi ikiwemo kwenye habari inayopitiza. Je, unaona kama Magix Enga anaweza kumsaini Diamond na timu yake ya Wasafi kupitia kandarasi?

    Gundua

    • Nyumbani
    • Majukwaa
    • Ziada
      • Kutuhusu
      • Vyeo
      • Tagi
      • Wenzako
      • MUS

    Kijachini

    Hakimiliki 2019 Maswali.com

    Mtandao wa kijamii

    • Kutuhusu
    • Sera ya Faragha
    • Masharti ya Utumiaji
    • Wasiliana Nasi

    Lugha Saidizi

    • swKiswahili
    • en_USEnglish
    • fr_FRFrançais