Amini usiamini Rwanda imetangaza itapelekwa chakula kwa wanaohitaji. Nauliza kama ni ukweli na pia kama ni cha kiasi ya kutosha ama ni mambo ya kushikilia vichwa vya habari tu? Napongeza juhudi hiyo.

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
ERIC
Kwa maoni yangu sidhani Rwada ina uwezo wa kuwapa raia wake chakula cha kutosha. Rwada no mojawapo wa nchi ambazo bado hazijajiendeleza kiuchumi, wanafaa kuomba msaada kutoka kwa Benki la dunia ili kutekeleza jukumu hili.

Angalia kidogoMzungu
Nilisoma ndio benki ya dunia inasaidia mradi huo pia si ilikuwa watu si wengi? Kama 20,000 ama kitu kama hivyo?

Angalia kidogoNilote4life
Nashuku hatua hizo kidogo lakini wacha tuone vile itatokea. Bora viongozi wajaribu 🤷

Angalia kidogo