Mara kwa mara Rais wa marekani Donald Trump huonyesa utovu wa nidhamu kwa Marais wengine. Juzi aliweza kuwatusi Raia wa Uchina kwa kuleta ugonjwa wa korona, na kuipa jina “China Virus” Baada ya nchi yake kuanza kuadhirika alienda kuomba usaidizi kutoka kwa Rais wa Uchina.
Je Rais wa China anafaa kuwashauri Wamarekani dhidi ya kukambiliana na janga Hili?
Rais wa marekani mara kwa mara anaonyesha utovu wa nidhamu
Shea
China ifanye yote iwezekanavyo kusaidia maana ndio china ilihusika na uenezi wa virusi isipokuwa wazi kwa mawasiliano mwanzoni. Marekani iache lugha ya kibaguzi ndio rais wao agundue ya kwamba maradhi sio kosa la nchi ni kitu kinachowezekana nchi yoyote. Eti dunia angesema nini virusi ingetokea nigeSoma zaidi
China ifanye yote iwezekanavyo kusaidia maana ndio china ilihusika na uenezi wa virusi isipokuwa wazi kwa mawasiliano mwanzoni. Marekani iache lugha ya kibaguzi ndio rais wao agundue ya kwamba maradhi sio kosa la nchi ni kitu kinachowezekana nchi yoyote. Eti dunia angesema nini virusi ingetokea nigeria? Dunia inabidi wajibu wa kimataifa tukipigana na magonjwa kama hii lakini hasa mara tukikabili changamoto zingine zijazo. Sisi ni watu mamoja. Haya siasa ya kulaumiana inachokesha.
Angalia kidogoTrump aliweza kuongea kwa utovu wa nithamu katika mkutano wake na wanahabari huku akisema na kurudia kuita Virusi vya Corona kuwa ni Virusi vya China. Hata baada ya kuelezwa asirudie tendo hilo, alirudia tena akisisitiza kwamba Corona ni Virusi vya China.
Trump aliweza kuongea kwa utovu wa nithamu katika mkutano wake na wanahabari huku akisema na kurudia kuita Virusi vya Corona kuwa ni Virusi vya China. Hata baada ya kuelezwa asirudie tendo hilo, alirudia tena akisisitiza kwamba Corona ni Virusi vya China.
Angalia kidogoRais wa Marekani ni mtovu wa nidhamu sana lakini katika jambo hili la corona amekuwa mkweli kabisa kwani Corona ni virusi vya uchina. Uchina wenyewe wameonekana wakiwadhulumu na kuwabagua watu weusi wa kuwasingizia kuwaambukiza ugonjwa wa Corona ijawapo ulichipuka kwao. Wachina ni watu wabaguzi sanaSoma zaidi
Rais wa Marekani ni mtovu wa nidhamu sana lakini katika jambo hili la corona amekuwa mkweli kabisa kwani Corona ni virusi vya uchina.
Uchina wenyewe wameonekana wakiwadhulumu na kuwabagua watu weusi wa kuwasingizia kuwaambukiza ugonjwa wa Corona ijawapo ulichipuka kwao.
Wachina ni watu wabaguzi sana kwa hivyo sioni ubaya wowote pia wao wakibaguliwa na waamerika.
Angalia kidogo