Rais wa kenya ametangaza kuwa hakuna atakaye ruhusiwa kutoka au kuingia au kutoka mji mkuu wa kenya-Nairobi kutoka tarehe 6/4/2020 saa 1 jioni. Je tendo hili lina manufaa kwa nchi?
Rais wa kenya ametangaza kuwa hakuna atakaye ruhusiwa kutoka au kuingia mji mkuu wa Kenya-Nairobi. Manufaa ni gani?
Shea
Hiyo sheria ni jambo la busara kabisa. Hii itazuia watu walioambukizwa bila ujuzi wao kutembea vijijini kutoka Nairobi na kuambukiza walio vijijini. Watu wengi walio vijijini ni watu wenye umri wa makamo na hii inawaweka kwenye hatari zaidi. Corona ikienea vijijini itakuwa ngumu sana kuidhibiti kuliSoma zaidi
Hiyo sheria ni jambo la busara kabisa. Hii itazuia watu walioambukizwa bila ujuzi wao kutembea vijijini kutoka Nairobi na kuambukiza walio vijijini. Watu wengi walio vijijini ni watu wenye umri wa makamo na hii inawaweka kwenye hatari zaidi. Corona ikienea vijijini itakuwa ngumu sana kuidhibiti kuliko ilivyo mjini Nairobi na italeta ata hasara zaidi kwenye serikali za majimbo. Kwa hivyo naona ni jambo la busara sana, majiji ya Nairobi na Mombasa yakiendelea kufungwa mpaka Corona itakapoisha, itakapothibitiwa kabisa ama angalau chanjo itakapovumbuliwa.
Angalia kidogoManufaa ni kama sehemu moja inaathirika sana zile zingine hazitaathirika sana. Naona sheria hii itakuwa ngumu sana kwa waliotaka kuonana na familia zao. Lakini nilisoma wajanja washapata namna ya kuepuka lockdown hiyo jamaani
Manufaa ni kama sehemu moja inaathirika sana zile zingine hazitaathirika sana. Naona sheria hii itakuwa ngumu sana kwa waliotaka kuonana na familia zao. Lakini nilisoma wajanja washapata namna ya kuepuka lockdown hiyo jamaani
Angalia kidogohii itasaidia sana kuzuia usambazaji wa virusi vya Corona. Walioathirika mjini Nairobi waweze kukatwa kusafiri kwingine kufuatia sheria hii. Sehemu ambazo hazijaathirika na Corona zitakaa bila hofu ya kupata virusi hivi.
hii itasaidia sana kuzuia usambazaji wa virusi vya Corona. Walioathirika mjini Nairobi waweze kukatwa kusafiri kwingine kufuatia sheria hii. Sehemu ambazo hazijaathirika na Corona zitakaa bila hofu ya kupata virusi hivi.
Angalia kidogo