Kwa muda mrefu sana kama miezi mbili na zaidi, serikali ya Kenya imeweza kujizatiti kudhibiti Corona. Ilhali ni wazi kwamba wananchi wanalichukia janga hili kuwa mchezo. Waziri wa afya Kagwe amewasihi wakenya wafwatilie sheria ziliziwekwa na serikali kuu. Je ni nini serikali inapaswa kufanya ili kupambana na virusi vya Corona vile ipasavyo?
Shea
Ugonjwa wa Korona umeadhiri dunia yote kijumla. Dunia yote inazidi kupambana na Korona iwezekanavyo. Ili kuhakikisha raia wamezigatia amri zilizopitishwa ili kupambana na ugonjwa wa Korona, serikali yafaa; 1. Kuweka njia Kali za kuadhibu wasiozigatia amri zilizopitishwa. 2. Kutumia Askari wa kuhakikSoma zaidi
Ugonjwa wa Korona umeadhiri dunia yote kijumla. Dunia yote inazidi kupambana na Korona iwezekanavyo.
Ili kuhakikisha raia wamezigatia amri zilizopitishwa ili kupambana na ugonjwa wa Korona, serikali yafaa;
1. Kuweka njia Kali za kuadhibu wasiozigatia amri zilizopitishwa.
2. Kutumia Askari wa kuhakikisha raia wamezitia amri hizi maanani.
3. Kuwaelimisha raia umuhimu wa Sheria zilizopitishwa.