Ugonjwa wa Korona umesababisha shida si haba duniani. Kampuni mingi zimeweza kufungwa na zilizobaki zimepunguza idadi ya wafanyi kazi. Watu wengi wamekubwa na dhiki mingi kufuatilia kufutwa kwao kazini. Familia mingi zimekosa la kufanya kwani walipotengemea kutoa pesa za maisha yao ya kila siku pameSoma zaidi
Ugonjwa wa Korona umesababisha shida si haba duniani.
Kampuni mingi zimeweza kufungwa na zilizobaki zimepunguza idadi ya wafanyi kazi.
Watu wengi wamekubwa na dhiki mingi kufuatilia kufutwa kwao kazini.
Familia mingi zimekosa la kufanya kwani walipotengemea kutoa pesa za maisha yao ya kila siku pamefugwa.
Serikali inapaswa kuingilia na kuwapa Raia wake chakula. Kuna nafaka mingi zilizohifadhiwa za kutumiwa wakati kama huu kwa hivyo serikali inapaswa kuzitoa na kuwapa Raia wanaoteseka.
Angalau serikali la Kenya iwe na mchakato wa kutoa chakula kwa walio chini sana maishani. hela ilizotumika Gari moja la mwanasiasa inaweza kulisha wengi. Lakini nauliza ikiwa programu kama hii tayari ipo Kenya ama hakuna hata chochote?
Angalau serikali la Kenya iwe na mchakato wa kutoa chakula kwa walio chini sana maishani. hela ilizotumika Gari moja la mwanasiasa inaweza kulisha wengi.
Lakini nauliza ikiwa programu kama hii tayari ipo Kenya ama hakuna hata chochote?
Serikali inafaa kuondoa kodi kwa bidhaa zote za chakula na kuamuru bei ya chakula ipunguzwe kwa nusu ya bei. Hivyo hivyo wazilipe kampuni zinazotengeneza chakula hicho ili wasiende hasara.
Serikali inafaa kuondoa kodi kwa bidhaa zote za chakula na kuamuru bei ya chakula ipunguzwe kwa nusu ya bei. Hivyo hivyo wazilipe kampuni zinazotengeneza chakula hicho ili wasiende hasara.
Ugonjwa wa Korona umesababisha shida si haba duniani. Kampuni mingi zimeweza kufungwa na zilizobaki zimepunguza idadi ya wafanyi kazi. Watu wengi wamekubwa na dhiki mingi kufuatilia kufutwa kwao kazini. Familia mingi zimekosa la kufanya kwani walipotengemea kutoa pesa za maisha yao ya kila siku pameSoma zaidi
Ugonjwa wa Korona umesababisha shida si haba duniani.
Kampuni mingi zimeweza kufungwa na zilizobaki zimepunguza idadi ya wafanyi kazi.
Watu wengi wamekubwa na dhiki mingi kufuatilia kufutwa kwao kazini.
Familia mingi zimekosa la kufanya kwani walipotengemea kutoa pesa za maisha yao ya kila siku pamefugwa.
Serikali inapaswa kuingilia na kuwapa Raia wake chakula. Kuna nafaka mingi zilizohifadhiwa za kutumiwa wakati kama huu kwa hivyo serikali inapaswa kuzitoa na kuwapa Raia wanaoteseka.
Asante Sana.
Angalia kidogoAngalau serikali la Kenya iwe na mchakato wa kutoa chakula kwa walio chini sana maishani. hela ilizotumika Gari moja la mwanasiasa inaweza kulisha wengi. Lakini nauliza ikiwa programu kama hii tayari ipo Kenya ama hakuna hata chochote?
Angalau serikali la Kenya iwe na mchakato wa kutoa chakula kwa walio chini sana maishani. hela ilizotumika Gari moja la mwanasiasa inaweza kulisha wengi.
Lakini nauliza ikiwa programu kama hii tayari ipo Kenya ama hakuna hata chochote?
Angalia kidogoSerikali inafaa kuondoa kodi kwa bidhaa zote za chakula na kuamuru bei ya chakula ipunguzwe kwa nusu ya bei. Hivyo hivyo wazilipe kampuni zinazotengeneza chakula hicho ili wasiende hasara.

Angalia kidogo