Nini kinachochangia katika ongezeko ya idadi ya watu walio na Korona?

Hivi majuzi serikali ya Kenya imeweza kiweka mokakati maalum katika kipambana na korona. Ilhali serikali imeweza kipima watu katika makaunti, na idadi ya watu walio na Korona inaongezeka maradufu. Toa maoni yako?

  1. Ugonjwa wa Korona umeenea kote duniani kutokana na watu kutotilia maanani sheria ambazo zimeekwa ili kuzuia kuenea kwa ugonjwa huu. Watu wengi hawatilii maanani njia mwafaka ambazo zimeekwa kuzuia kuenea kwa virusi vya Korona.

    Iwapo watu watatilia sheria zilizozilizotegwa kukuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Korona, kuenea kwa ugonjwa wa Korona kutapungua.

    • 0

Inabidi kujilogisha kabla ya kuuliza swali