Nchi nyingi za Africa zinakabiliwa na hili janga la upungufu wa Ajira hasa kwa vijana wanaomaliza masomo ya vyuo vikuu. Nini maoni yako? nini kifanyike kupunguza wimbi hili kubwa la upungufu wa ajira kwa nchi nyingi za Africa.

Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa barua pepe.
Ni kweli kuwa kupata ajira siku hizi limekuwa ajira kwa watu wengi wanaotoka kwenye vyuo vikuu. Idadi ya ajira ni kidogo kuliko idadi ya wanaotafuta ajira na hili limesababisha watu wengi kukosa au pia kufanya kazi tofauti na masomo waliosoma kwenye vyuo vikuu. Teknolojia ya kisasa pia imesababishaSoma zaidi
Ni kweli kuwa kupata ajira siku hizi limekuwa ajira kwa watu wengi wanaotoka kwenye vyuo vikuu. Idadi ya ajira ni kidogo kuliko idadi ya wanaotafuta ajira na hili limesababisha watu wengi kukosa au pia kufanya kazi tofauti na masomo waliosoma kwenye vyuo vikuu.
Teknolojia ya kisasa pia imesababisha ukosefu wa kazi kwani kazi mingi zilizokuwa zikitekelezwa na watu binafsi zinafanywa kupitia mashine.
Wasomi wengi wameweza kuanzisha bihashara na kujiajiri ila kunao wamebaki kuzubaa hawana bee wala tee.
ILI KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA YAFUATAYO YANAFAA;
ukosefu wa ajira ni janga ambalo limekua tatizo katika nchini nyingi hasa hapa Afrika. Vijana wanahitimu kutoka vyuo vikuu kiasha wanakosa ajira. Serikali inapaswa kuweka mikakati thabiti ya kutoka nafasi nyingi kwa vijana. Kutoa mipango bora ya kuanzisha biashara na kampuni ambazo zitatoa ajira zaSoma zaidi
ukosefu wa ajira ni janga ambalo limekua tatizo katika nchini nyingi hasa hapa Afrika. Vijana wanahitimu kutoka vyuo vikuu kiasha wanakosa ajira. Serikali inapaswa kuweka mikakati thabiti ya kutoka nafasi nyingi kwa vijana.
Kutoa mipango bora ya kuanzisha biashara na kampuni ambazo zitatoa ajira za kutosha kwa wasio na kazi. Hizi ni baadhi ya njia serikali inafaa kutumia ilikusaidia vijana wapate kazi.
Angalia kidogoNadhani shida kubwa inayofanya vijana wakose kazi ni ufisadi. Ufisadi ukiisha, ajira na nafasi za kazi nazo zitaongezeka.
Nadhani shida kubwa inayofanya vijana wakose kazi ni ufisadi. Ufisadi ukiisha, ajira na nafasi za kazi nazo zitaongezeka.
Angalia kidogo