Kufatia ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona katika nchi za Africa. Nini kifanyike ili kujikinga na maambukizi mapya yanaendelea kwa kasi.
Shea
Ulipoteza nywila? Tafadhali ingiza bapepe. Utapewa linki cha kutengeneza nywila tena kwa bapepe.
ERIC
Kuna hatua kadhaa zilizizo tolewa na ofisi kuu ya afya duniani ambazo kila mtu anafaa kuzifuata ili kujikinga na ugonjwa wa Korona. Sheria hizi ni kama vile; 1. Kunawa mikono 2. Kutofanya mikutano inayozidi watu kumi na watano. 3. Kutokaribiana na watu. 4. Kutumia sanitizer mara kwa mara 5. Kuenda hSoma zaidi
Kuna hatua kadhaa zilizizo tolewa na ofisi kuu ya afya duniani ambazo kila mtu anafaa kuzifuata ili kujikinga na ugonjwa wa Korona.
Angalia kidogoSheria hizi ni kama vile;
1. Kunawa mikono
2. Kutofanya mikutano inayozidi watu kumi na watano.
3. Kutokaribiana na watu.
4. Kutumia sanitizer mara kwa mara
5. Kuenda hospitalini unapopata dalili za ugonjwa wa Korona.
6. Watu wanafaa kukaa ndani ya nyumba zao.
Ni jukumu la serikali ya kila nchi kuhakikisha Sheria hizi zimetiliwa maanani na Raia wake.
Joylee
Ni vyema kila nchi kuweza kuzingatia sheria zilizowekwa na wizara ya afya duniani katika kuzia uambukizi wa Corona. Hivi basi mipango mwafaka ni bora hasa kabla ugonjwa huu haujasambaa katika maeneo mengi. Kuhakikisha unanawa mikono kila wakati, kuepukana na walio na magonjwa kama vile homa na mafuaSoma zaidi
Ni vyema kila nchi kuweza kuzingatia sheria zilizowekwa na wizara ya afya duniani katika kuzia uambukizi wa Corona. Hivi basi mipango mwafaka ni bora hasa kabla ugonjwa huu haujasambaa katika maeneo mengi. Kuhakikisha unanawa mikono kila wakati, kuepukana na walio na magonjwa kama vile homa na mafua, kuvalia maski kila wakati hasa kwenye wati wengi, ni baadhi ya mambo tunayo takiwa kuzingatia ili kuepukana na uambukizi wa ugonjwa huu mpya iliochipuka hivi majuzi.
Angalia kidogoToujoursKwako
Si Tanzania imesimamisha ndege zote za kimataifa? Ndio hii ni hatua moja. Kenyan ishafanya hiyo siku kadhaa zilizopita
Si Tanzania imesimamisha ndege zote za kimataifa? Ndio hii ni hatua moja. Kenyan ishafanya hiyo siku kadhaa zilizopita
Angalia kidogo